Nateseka jamani na mapenzi!

Nateseka jamani na mapenzi!

jack 1

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
61
Reaction score
63
nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?
 
ivi serikali yangoja nini kuanzisha mtaala wa mapenzi mashuleni.... fujo zinazidi hapa MMU... na mpaka kwenye ndoa watu wanaoana leo wnaachana kesho..mara wanauana.. aaargghh ..too much..

mambo kama haya yanayoulizwa hapa ilibidi yajibiwe ktk mitaala...
 
we unaharaka, hebu mpe muda! usimpigie wala text kila cku pengine labda mara moja kwa wiki na uchague muda ambao atakosa excuse,! kama ukiona anapotezea kwa muda mrefu sana bac huna budi nawe kumuacha wakati huo na ww itakua umeshapata ujasiri wa kumuacha baada ya kukaa muda mrefu bilakuwasiliana nae!
 
Penda unapopendwa ukipenda usipopendwa ndiyo kunakuwa na mateso kama hayo, akili mkichwa SEPA na mapema vinginevyo itakula kwako.

nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?
 
Usilazimishe penzi mana anaweza akakukubalia na akaku do na akakuacha mana inaonesha hana mapenzi na wewe na ndo mana hajali anakupuuza na huenda ana mdada mwingine anayemuweka bize
 
Hebu hizo sms anza kumtumia John wa hapo mtaani uone? Tatizo lako umempenda mtu ambaye sio size yako so kimbia dada mapema.
 
Wakaka bado wapo wengi, na wewe bado ni mzuri. Songa mbele wachana naye...
 
Jikubalishe tu mbona utamsahau. Hadi siku ana mood ya kuongea na wewe utajikuta umemsahau jina. Anakuzibia riziki, jiweke huru utakutana na anaekupenda akupende hadi uchoke.
 
Hakupendi na si ajabu ana mtu wake,so sms na calls zako ni kama zinamuharibia kwa mtu wako
Move one to another fish,mbona wapo wengi tu
 
ivi serikali yangoja nini kuanzisha mtaala wa mapenzi mashuleni.... fujo zinazidi hapa MMU... na mpaka kwenye ndoa watu wanaoana leo wnaachana kesho..mara wanauana.. aaargghh ..too much..

mambo kama haya yanayoulizwa hapa ilibidi yajibiwe ktk mitaala...

Kwa mshahara upi wa mwalimu....?? walimu tuanze tu, kujibu maswali ya kidhambi dhambi hayo mashuleni..! badala ya kufundisha physics na mathematics ili kupata ma-injinia wenye kujenga maghorofa imara, tufanye kazi ya kuandaa wazinzi.
 
nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?

Umekuwa mtumwa si uachane nae
 
ni raha sana kupenda unapopendwa
huyo hata akikubali utajuta coz
ni maumivu ya moyo unajitakia
achana nae,utapata
akupendae na huyo utamsahau!!!!
 
Ni mpenzi wako au just a guy? Anajua unampenda au hujamwambia?
 
Stop being desperate...mwisho wa siku utamegwa bure halafu utoswe.
Wakati mwingine huwa ni tamaa za mwili tu halafu baadae huondoka na maisha huendelea.

THANK YOU DR. LOVE!!!!!!!!!!!!!! This is what im talkin about.
 
On the other hand A SISTER GOTTA MAKE SHIT HAPPEN!!!!!! DNT JUST QUIT CAUSE ITS HARD!!!!!!!!!!! DYIN IS HARD FOR SURE BT WE GONNA DIE ANYWAY BT WE DO PREPARE TO DIE! WE JUST DONT QUIT DYIN JST BECAUSE ITS HARD.

What im sayin is you need to find some moves to attract the brother. He is just human like you not some somekind of god or somethin. All you need to do is to find some weakpoint and take advantage! Everbody has a weak point.

Although i must warn you HIGHER LEVELS OF LIYING, DECEIT, FAKING, AND EVEN ACTING SOMETIMES WILL BE HIGHLY REQUIRED in this quest of yours.

Bonvoyage!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom