Nateseka jamani na mapenzi!

Nateseka jamani na mapenzi!

we mbona ulimegwa sana sasa upo na mkurya mwache tumfundishe lovelife atajuta kushobokea ruff ryders

Nilimegwaaaaa?unafahamu maana ya kumegwaaa?me nna sura ya kumegwa??haha
 
Mapenzi kwa kweli mie nimeyachoka natamani nisipende
 
nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?

Penda unapopendwa
 
unajua hakupendi we utampendaje mtu asiyekupenda kwanza hapa bongo hakuna mapenzi ya kweli huyo jamaa atakuwa ana mshiko wa maana na kazi nzuri kama sivyo basi yupo chuo kikuu au uongo
 
nimetokea kumpenda mkaka mmoja, ananitesa sana jmn nikitaka kumpigia cm anasema hana mud ya kuongea na cm nikimtext anajb short nifanyeje 4real nampenda toka moyoni kabisa nampenda sana, hajal hisia zangu nisaidien mawazo nifanyeje?

Pole sana. Jaribu kwangu uenda utafanikisha. Hata hivyo uwe na sifa zifutazo (1), Uwe mke wa mtu, (2) Kila tukikutana uwe na uwezo wako wa kutoa si chini mara tatu (3) Kila siku hakikisha una walau kiasi kisichopungua 50,000 kwa ajili ya matumizi na uwe tayari kukopwa!.
 
Pole sana. Jaribu
kwangu uenda utafanikisha. Hata hivyo uwe na sifa zifutazo (1), Uwe mke
wa mtu, (2) Kila tukikutana uwe na uwezo wako wa kutoa si chini mara
tatu (3) Kila siku hakikisha una walau kiasi kisichopungua 50,000 kwa
ajili ya matumizi na uwe tayari kukopwa!.

Mmmmh, uko vizuri? usiwe na kibamia.
 
Kwan umeshajifungua? Au mimba ndo inakufanya umpende!
 
Usilie dada njoo kwangu nikupe pumziko. Mi mwenyewe ndo hivyo hivyo.....ni PM


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
jamani huw nashangaa sana wadada aisee ila cjui kutuma thread ikakubali naombeni mnielekeze maana mi huwa nachangia tu hapa.
 
Mdada usifosi kiki! Tafuta mtakaependana...ukiona huyo anaku-ignore,ujue hujamvutia.asikwambie mtu kwenye hii dunia kila mtu ana wake
 
jamani huw nashangaa sana wadada aisee ila cjui kutuma thread ikakubali naombeni mnielekeze maana mi huwa nachangia tu hapa.

Kama unatumia sim ingawa nahizi hata computer fanya hivi.
Ukisha fungua jukwaa lolote kama jukwa la mapenzi hivi angalia kwenye kichwa cha cha jikwaa mfa kukwaa la mapenzi sio juu kabisa nafikiri ni line ya pili au ya tatu mbele ya jina la jukwaa kama ni mapenzi na mahusuiano utakuta pameandikwa "new topic" unaclick hapo unaype title yako then chini unaweka maelezo yako halafu unapost/submit
 
Huyo hana hisia nawe, hakujali...Achana nae angalia ustaarabu mwingine...Huyo akikupata atatembea tuu nawe then atakutosa akuumize zaidi....
 
usilazimishe mapnzi bbi hayo, acha kumfikiria yeyem kuwa busy tena acha kabisa kumtafuta, unamp kichwa sana unavyomtafuta...
 
Back
Top Bottom