Mapenzi huwa yanaingia taratibu...Kutokupokea simu ama kujibu mkato ni mambo ya kawaida mwanzoni mwa mahusiano...Mbona wadada hufanya sana hayo wakati wakiangalia kama anayehusika yupo serious ama la...?
Kama amekwambia kuwa hakuhitaji, anakujibu hovyo hovyo...waweza sepa...hiyo ni point of no return...Lakini kwa hiyo "biringe bayoyo biringe...." komaa tu mpendwa!
Ni heri kumshawishi unayempenda akupende... kuliko kujilazimisha kumpenda mtu usiyempenda!!