Natangaza vita mpya na kila mwanamke, sitaki mahusiano tena

Jambo la muda tu utapona na utalamba asali kwa ncha ya kisu tena
 
Mkuu pole sana,,, hio vita umejipanga vizuri,, maana yake naona picha linaanza tu ushapigwa za kutosha.
 
'hbr wana jamii forum, na poleni na majukum.

Ilikuwa jioni fulani hivi baada ya mihangaiko ya siku nzima mida kama ya saa 12 jioni. Niliamua kuchukua pikipiki ya rafiki yangu japo nipige pige vichwa kuisogeza jioni. Yaani boda boda.

Kama zali la mentali tu navuta hatua kadhaa napata mteja anaiomba nimpeleke guest. Nikamtajia pesa, wala hakugoma. Nikavuta mafuta mpaka kwenye hiyo guest (jina kapuni).

Akanilipa pesa yangu fresh tu. Ile nataka kuondoka akaniomba pia nimfuatie mrembo wake ambae walikua wamekubaliana wakutane kwenye kwenye hiyo guest.

Nikiwa nawaza leo imekuwa siku nzuri ofisini kwa kupiga vichwa viwili chap, si ndio akanitajia namba ya huyo mwanamke ninaetakiwa kumfuata.

Mungu wangu!! Mbona namba anayonitajia jina linakuja la mpenzi wangu? Binti nimpendae kinoma. Mtu ambae namgharamikia kila kitu usiku mchana.

Kiukweli sikuamini ila moyoni nikajipa imani ngoja nione huu mchezo utakapoishia .

Nikavuta mafuta hadi kwa rafiki yangu, nikamuazima simu yake nikiwa na uhakika hii namba haijui.

Baada kushusha pumzi na hasira niliyokuwa nayo, nikamtext kuwa nimaegizwa nimfuate.

Kweli akanipa ramani alipo.

Kwa kuwa nilikuwa napajua kwao, chap nilikuwa nimeshafika. Moyo hauamini, akili haiamini. Nipo pale nasubiri kuona kweli yeye ndio atatoka ndani.

Hapo nilikuwa nimejipigilia makoti kama yote. Kichwani nina helmet kubwa na kale kagiza ka saa moja usiku hakuweza kunitambua.

Na alikuwa anajua sifanyagi kazi za bodaboda. Kwahiyo ilikuwa ni ngumu sana kugundua ni mimi nipo pale.

Akiwa amependeza na kunukia, macho yangu yanashuhudia ni yeye anatoka nje kunifuata pale nilipo.

- Sitaki kuendelea na hii stori nina uchungu sana niwatakie eid njema.
Usisuse bana,hili ni janga la Dunia,Angalia babu yako Bill Gates,Unaanza upya mpaka kieleweke ila usisuse.
 
We unavyodhani kuwa sisi tunakula tu mbususu zao hatutaki kuoa ni WAJINGA?

We kula mbususu, kupenda achia njiwa.

#YNWA
 
Pole sana Mkuu ukiweza kumalizia hili sakata lilivyojiri fanya hivyo au ukishindwa pia ni poa tu,
pole sana.
'hbr wana jamii forum, na poleni na majukum.

Ilikuwa jioni fulani hivi baada ya mihangaiko ya siku nzima mida kama ya saa 12 jioni. Niliamua kuchukua pikipiki ya rafiki yangu japo nipige pige vichwa kuisogeza jioni. Yaani boda boda.

Kama zali la mentali tu navuta hatua kadhaa napata mteja anaiomba nimpeleke guest. Nikamtajia pesa, wala hakugoma. Nikavuta mafuta mpaka kwenye hiyo guest (jina kapuni).

Akanilipa pesa yangu fresh tu. Ile nataka kuondoka akaniomba pia nimfuatie mrembo wake ambae walikua wamekubaliana wakutane kwenye kwenye hiyo guest.

Nikiwa nawaza leo imekuwa siku nzuri ofisini kwa kupiga vichwa viwili chap, si ndio akanitajia namba ya huyo mwanamke ninaetakiwa kumfuata.

Mungu wangu!! Mbona namba anayonitajia jina linakuja la mpenzi wangu? Binti nimpendae kinoma. Mtu ambae namgharamikia kila kitu usiku mchana.

Kiukweli sikuamini ila moyoni nikajipa imani ngoja nione huu mchezo utakapoishia .

Nikavuta mafuta hadi kwa rafiki yangu, nikamuazima simu yake nikiwa na uhakika hii namba haijui.

Baada kushusha pumzi na hasira niliyokuwa nayo, nikamtext kuwa nimaegizwa nimfuate.

Kweli akanipa ramani alipo.

Kwa kuwa nilikuwa napajua kwao, chap nilikuwa nimeshafika. Moyo hauamini, akili haiamini. Nipo pale nasubiri kuona kweli yeye ndio atatoka ndani.

Hapo nilikuwa nimejipigilia makoti kama yote. Kichwani nina helmet kubwa na kale kagiza ka saa moja usiku hakuweza kunitambua.

Na alikuwa anajua sifanyagi kazi za bodaboda. Kwahiyo ilikuwa ni ngumu sana kugundua ni mimi nipo pale.

Akiwa amependeza na kunukia, macho yangu yanashuhudia ni yeye anatoka nje kunifuata pale nilipo.

- Sitaki kuendelea na hii stori nina uchungu sana niwatakie eid njema.
 
Matokeo yake ni haya
 
Mzee baba, na wewe ungechukua chumba hapo hapo guest. Then ungempeleka hadi kwenye chumba chako ukamtafuna halafu unampigia simu yule mchizi unamwambia amfuate demu wake chumba namba flan ambapo wewe ndio upo.
 
Back
Top Bottom