Natangaza rasmi

Jamani TaiJike ni shemeji/wifi yenu.
Naomba wale wenye nia chondechonde jamani.Msije mkanipeperushia tai wangu,nimetoa jasho kumpata.
Hahahaaaa
Excellent hongera sana naona vijana mnajitoa kwenye kundi la ubachela....
Toa wito na kwa wale ambao bado wanadunda na ubachelor
 
Hahahaaaa
Excellent hongera sana naona vijana mnajitoa kwenye kundi la ubachela....
Toa wito na kwa wale ambao bado wanadunda na ubachelor

Mkuu huu ubachelor kazi sana we hujui tu,unakuwa mpweke halafu kuna vitu vya msingi unakuwa unavimiss
 
Hongera sana, this is good. Extend it to reality pia.
Hivi bado kuna watu hawajaingia JF couples?
 
Hongera sana, this is good. Extend it to reality pia.
Hivi bado kuna watu hawajaingia JF couples?
Mwali thanks much.....wapo ila sema tu wanaogopa kujitokeza
 
:violin::violin:............wanameremeta.........hongereni sana
 
Hongereni sana...

Hivi Excellent una allergy na kina dada wembamba.. (Nauliza tu..wala usihusianishe na mchumba wako mpendwa Taijike)
 
Mkuu huu ubachelor kazi sana we hujui tu,unakuwa mpweke halafu kuna vitu vya msingi unakuwa unavimiss
..ukiona majii yamezidiii ungaaaa,ungaa umizidiii maji basi ina bidi utulieee..bachelor siatki kuwa tena bachelor japo maisha ya kiselaa sometime yana nipaaa RAHAAAA.....
 
Hongereni sana...

Hivi Excellent una allergy na kina dada wembamba.. (Nauliza tu..wala usihusianishe na mchumba wako mpendwa Taijike)

Kuna khanga inasomeka "FITINA NA PELELEZI NI SUMU YA PENZI" hapo naona uko keep left.
 
Jamani TaiJike ni shemeji/wifi yenu.
Naomba wale wenye nia chondechonde jamani.Msije mkanipeperushia tai wangu,nimetoa jasho kumpata.

Tombokaa !
Babaa
Tombokaa
Usimbe Jeiefu wa nini ? Na Mijimama, Mi- bi Dada, Mimanzi lukuuuki ? Wala mimi sifuti kasumba kua wao wapo kwa ajili yetu !
Na naiheshimu, naitetea, naijali kasumba yangu. Fullystop .
 
Back
Top Bottom