BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Sawa....
Mimi,Judgement,Rejao,Nitty,Uporoto na familia zetu tunawakaribisha katika maisha mapya ya wapendanao
braza naona Bi Ny hatuwasiliani tangu jana...i dont know what has happened!
Sawa....
Mimi,Judgement,Rejao,Nitty,Uporoto na familia zetu tunawakaribisha katika maisha mapya ya wapendanao
Am speechless ktk hili........tutawatafuta ktk sector zote isipokuwa ya fedha tu.
humu ndani watu kwa kubambiana...........
humu ndani watu kwa kubambiana...........
Dah wadada wembemba mbona ndo wa ukweli sana,we huoni watakuwa na figure
teh teh hizo kauli mkuu usije ukapitiwa na ufagioTombokaa !
Babaa
Tombokaa
Usimbe Jeiefu wa nini ? Na Mijimama, Mi- bi Dada, Mimanzi lukuuuki ? Wala mimi sifuti kasumba kua wao wapo kwa ajili yetu !
Na naiheshimu, naitetea, naijali kasumba yangu. Fullystop .
Sawa....
Mimi,Judgement,Rejao,Nitty,Uporoto na familia zetu tunawakaribisha katika maisha mapya ya wapendanao
Hongera sana, this is good. Extend it to reality pia.
Hivi bado kuna watu hawajaingia JF couples?
Hongera sana. mlete kwangu mama ili nimfundishe mila za nyumbani. kama ile ya lazima azae mtt mmoja nje ya ndoa n.k.
Hongera sana, this is good. Extend it to reality pia.
Hivi bado kuna watu hawajaingia JF couples?
Jamani TaiJike ni shemeji/wifi yenu.
Naomba wale wenye nia chondechonde jamani.Msije mkanipeperushia tai wangu,nimetoa jasho kumpata.
nimeshautest bhana
we tayari? nani mwenye bahati huyo?Hongera sana, this is good. Extend it to reality pia.
Hivi bado kuna watu hawajaingia JF couples?
we tayari? nani mwenye bahati huyo?