Ladymasa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 877
- 335
Nishakaribia,baada ya honeymoon mje kututembelea nyumbani
Ndio tuwakaribishe mume wangu
Nishakaribia,baada ya honeymoon mje kututembelea nyumbani
aiiiii amu roho mbaya hiyooo
Karibu miss neddy usipite hii harusi tumejiandaa hakosi mtu kadi... amu mkaribishe bibie
miss neddy na zile ndala zako nimeiona moja yakushoto...duh
Usijali wii ntakufundisha mie tenaa shaka ondoaaa
Nishakaribia,baada ya honeymoon mje kututembelea nyumbani
Ahsante kwa tabia hii nzuri na upendo,
endelea kuwa muungwana my sweety utaishi na watu wa aina zote duniani.
nawapongeza pia
hahahahahahaI love you ma shem
baada ya kukaa kwa muda mrefu bila mke, leo natangaza rasmi kuwa janeth1 ni Mrs. Mwanyasi.
taarifa kwa mwenyekiti Baba V na rais Arushaone wakiwa viongozi wetu.
dada na kaka zangu KOKUTONA amu Arabela Lady doctor watu8 Kaizer Judgement YNNAH Asprin DEMBA Chocs Filipo Heaven on Earth Mtoto halali na hela na marafiki wote.
miss kiwatengusafi mkuu naomba niwaweke kwenye ile list sasa... 🙂 niwapige na picha kidogo 😛hoto:
sorry mkuu nilimaanisha miss u.una maana gani? sijakusoma vizuri hapo mkuu
I love you ma shem
vigeregereeeeeeeeeee
nashukuru wif wa mie nilikumis..