Maneno kama haya sikuyategemea kwenye sherehe hii,
nadhani umekasirika kisa umekimbiwa na waume kama wa4, dada yangu we kapumzike tu, tuache tusherekee na mke wangu janeth1
Huyo unamjua weye siye hatumjui wala hatumtambui.
Upo hapo shoga???
Ulikua wapi wif yangu jaman?
Ejhoooo ghwamwitu, uhobhokele nilipitiwa sebho, samahani sana wanakamati walipitiwa na mimi nikapitiwa.
Mke wangu janeth1 huyu ni ndugu yangu kabisaaa hivo shemeji yako wa karibu sana.
Nakupenda pia mama ni utani tu nipo nakunywa red wine hapa nakuona unavyotabasamu hapo
Ahsante kwa tabia hii nzuri na upendo,
endelea kuwa muungwana my sweety utaishi na watu wa aina zote duniani.
Wifi si wajua leo blue monday.......
waooh mwambie shemej karibu sana katka familia yetu.
waooh mwambie shemej karibu sana katka familia yetu.
Usijali wii ntakufundisha mie tenaa shaka ondoaaando ugal gan huo wif utanifundsha nimtengenezee kaka'ko ila utaonja wew kwanza.