Natangaza rasmi ndoa na janeth1

Natangaza rasmi ndoa na janeth1

Ha ha ha ha haaaaa!
Nani kakuambia hiii.....!!!!!!!
Tunahitaji wosia wako mzazi.


Ahsanteeeeeee....
wataka mme tena humu kwenye harusi?
Mimi ndo nimeshaoa hivo wala sioi mwingine janeth1 anatoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Waooo.. Lov u swtie.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom