nakupenda dada yangu
njooo mke wangu tufurahi sikuu hii muhimu
baada ya kukaa kwa muda mrefu bila mke, leo natangaza rasmi kuwa janeth1 ni Mrs. Mwanyasi.
taarifa kwa mwenyekiti Baba V na rais Arushaone wakiwa viongozi wetu.
dada na kaka zangu KOKUTONA amu Arabela Lady doctor watu8 Kaizer Judgement YNNAH Asprin DEMBA Chocs Filipo Heaven on Earth Mtoto halali na hela na marafiki wote.
Ushindwe na ulegee.
Unataka lile sanduku la wifi lisimfikie??
tupendane kweli mke wangu mwaaa.
njooo mke wangu tufurahi sikuu hii muhimu