Natangaza rasmi ndoa na janeth1

Natangaza rasmi ndoa na janeth1

haki ya nani uyo pepo alekuingia atakua wakike ndo wabshi sana, hebu ngoja nimwite uran aje akusikie kaingliwa. Na mtoa kibali cha kutoka mme wangu ni mim so bado kazi ipo.

Weee ishia hapohapo bibi we!
 
Last edited by a moderator:
hee kumbe unaogopa nishajua dawa yako.

eheee bora umempatia dear, ujue tangu umetoka UK kwa phd yako nilidhani umesahau lugha ya kiswahili hivo nikawa nakuangalia tu unavomjibu mke wa uran. twende zetu church mpenzi
 
Last edited by a moderator:
eheee bora umempatia dear, ujue tangu umetoka UK kwa phd yako nilidhani umesahau lugha ya kiswahili hivo nikawa nakuangalia tu unavomjibu mke wa uran. twende zetu church mpenzi

hahaha naweza dear... Haya sweety twende.
 
Last edited by a moderator:
nakuona kwenye sidemirros unataka ku-overtake gari yetu!!!
mke wangu janeth1 kanyaga mafuta ya kutosha maana huwa sipendi kuona mtu ana overtake gari yetu.

hatuwezi huyu mme kwanza hajaweka mafuta ya kutosha kuna sehem atakwama afu itakua ni porini.
 
Last edited by a moderator:
hatuwezi huyu mme kwanza hajaweka mafuta ya kutosha kuna sehem atakwama afu itakua ni porini.

halafu na wewe kwa calculation balaa mpaka unajua yataisha porini? kwani amekwambia hana kiwese?
 
halafu na wewe kwa calculation balaa mpaka unajua yataisha porini? kwani amekwambia hana kiwese?

hana cha kutosha dear anaungaunga kila kituo sasa saiz hata kituon hafiki. Lakin hesabu najifunza kwako mme umesahau?.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom