Natangaza rasmi ndoa na janeth1

Natangaza rasmi ndoa na janeth1

kama unataka kuwa nyumba ndogo sema ili nimuombe bi mkubwa janeth1 (the first one and the one) kama ataafiki atoe maelekezo

Unajua unanikwaza dear kwanza din ye2 hairuhusu zaid ya mke mmoja nimegoma tena stak nitamtoa macho umwambie..
 
Last edited by a moderator:
'Valentina' mwongozo umetolewa na mke wangu hata mimi nimekubaliana nao, hivyo tafadhali ni heshimu kama mme halali wa janeth1
mke wangu hata kazini siendi!?
 
Last edited by a moderator:
'Valentina' mwongozo umetolewa na mke wangu hata mimi nimekubaliana nao, hivyo tafadhali ni heshimu kama mme halali wa janeth1
mke wangu hata kazini siendi!?

kesho hunyanyui mguu hum ndan lasvyo mguu wang mguu wako mmenichefua..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom