janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Hahahaaaa
nitaingia jesh kwajil yako ohooo..
Hahahaaaa
nitaingia jesh kwajil yako ohooo..
He kumbe bado hujanza
we ndo utanifanya nianze lasvyo nakupotezea mistu ya kongooo...
Hehee huezi wewe
ngoja afafanue vizuri huyu mwanamke mama, hata mimi simuelewi
mke wangu mpenzi kazini si nitaenda?
ha ha haa... Haya best kwema lakn?
Hivi hii ndoa bado tu haijavunjika jamani!!
Hivi hii ndoa bado tu haijavunjika jamani!!
mbona yako haijavunjika? Havunji mtu hapa mlie tuuuu....
Alafu mme wangu sijamwona leo nina wasiwasi na wewe?
Hah hah haaaah!! Yani nasubiri kwa hamu sana
Hivi kumbe hajakwambia kua leo tuna agenda nyeti ee! We msubirie atakuja lakini japo kwakuchelewa....
juzi ulikua unakemea mapepo kuleee naona yaliingia kwako uje niyatoe sio bure hauko sawa.
Daah umenisababishia kicheko we mwanamke,uko poa lakini