huyu inabidi ahamie kwa wajaluo si unajua hawatahiriwi? huku ndio kunamfaa zaidiSasa huko Kenya Yo YO utatambulika kuwa wewee ni kabila gani sababu huko Kenya ukiachilia wazungu,waasia,kwa wamatumbi lazima ujitambulishe kwa kabila fulani,then ndio pia mambo yako yaende kikabila,nachelea utaomba urudishiwe tena uraia wa Tanzania,kwani Mungiki hawatakukubali kuwa mmoja wao vilevile Wakale,Wanandi,luhya na Jaruos,pole kaka umeruka kojo umekanyaga kimba la mimavi,loh niombe uraia wa Kenya aheri nikeshe kuomba nipate uraia wa Afaghanistani
Jamani acheni kumsakama yo yo, hayo ni maamuzi yake. Kwani ni nyinyi mliompangia kuzaliwa Tanzania?
Ndani ya mwaka 2010, jamaa zangu kama 19 wameishaukana uraia wa Tanzania na kuwa raia wa nchi zingine!
Huko nyumbani si hamruhusu dual citizenship? sasa mnalalama nini?
Mimi Yo Yo leo tarehe 8 april natangaza rasmi kuukana uraia wa tanzania na kuutupilia mbali na kuwa Mkenya.
Dogo nasikia umepeta karatasi baada ya kupata li XXL lako.....
KUNA SHORI MMOJA kaja hapa kasema umemtongoza ukasema weye waziri....afu yule shori ka kichongeo cha kuchongea penseli...dogo umechoka kweli..
hiyo alikuvika jamaa ako YNIM bwahahahahaha
dual citizenship ya kazi gani?
"you are either with us or leave us"
Lazima wakenya wakukubali mkuu. Inaitwa kuwa "Naturalised" ndipo utakuwa Mkenya. Pole! We bado Mtanganyika.Mimi Yo Yo leo tarehe 8 april natangaza rasmi kuukana uraia wa tanzania na kuutupilia mbali na kuwa Mkenya.