Natangaza rasmi leo kuuacha uraia wa Tanzania na kuwa Mkenya

Lazima wakenya wakukubali mkuu. Inaitwa kuwa "Naturalised" ndipo utakuwa Mkenya. Pole! We bado Mtanganyika.
 
Nenda huko uchaguzi wao unakuja wakukate na mapanga wakipigania vyama na watu hawana hata uanachama ujinga mtupu na kutumiana eti sisi tumetoka kabila moja Mwingine anakaa kwenye gorofa safi mwingine kibera slums…..
 
Kwa asiyekufahamu kama wewe ni Mkenya labda ila kwa sisi umenoa.....................................
 
No matter what, Namshukuru MUNGU kwa kuzaliwa Tanzania and I am proud to be a Tanzanian.
 
We Yo Yo Kenya of all the countries in the world!!!! Haya bwana nenda utarudi tu tanzania ukiona kule hawakukubali. Kenya makabila hayachangamani, wanauana kweli. Vita vya makabila ni kawaida kule. Sasa Mtanzania sijui watamfayaje!!! Wakija huku huwa wanashangaa sana kuona jinsi tunavyomix sana si kwa kabila si dini. Mi nasema udini wanao viongozi wetu. Sisi mitaani hatuna tunaishi vizuri tu. Tunakukaribisha ukifukuzwa huko.
Mimi Yo Yo leo tarehe 8 april natangaza rasmi kuukana uraia wa tanzania na kuutupilia mbali na kuwa Mkenya.
 
jiangalie ww usiwe kama wanadada wa bar mwenye bia nyingi kwenye meza yake unataka awe bwana yko ohooo yatakutokea puani
 
Back
Top Bottom