Natangaza rasmi leo kuuacha uraia wa Tanzania na kuwa Mkenya

Jamani acheni kumsakama yo yo, hayo ni maamuzi yake. Kwani ni nyinyi mliompangia kuzaliwa Tanzania?

Ndani ya mwaka 2010, jamaa zangu kama 19 wameishaukana uraia wa Tanzania na kuwa raia wa nchi zingine!

Huko nyumbani si hamruhusu dual citizenship? sasa mnalalama nini?
 
Proudly kenyan...
 
Mimi Yo Yo leo tarehe 8 april natangaza rasmi kuukana uraia wa tanzania na kuutupilia mbali na kuwa Mkenya.

We tangu lini ulikuwa mtanzania? Wakati 2nakujua fikra kwamba wewe ni mkamba na wajua kucheza pool table pande za mwambao hapo mombasa.
 
Kwani ulipokuwa Mtanzania ulikuwa na mchango gani kwa taifa hili zaidi ya kuwa mzigo? Tuna watu million 43, tungependa wapungue. Ni vyema ukaondoka na familia yako yote.

Kwa hiyo una nia ya kutumia kila mbinu hata tsunami kama Wamarekani ili mradi tupungue?
 
Kwani ulipokuwa Mtanzania ulikuwa na mchango gani kwa taifa hili zaidi ya kuwa mzigo? Tuna watu million 43, tungependa wapungue. Ni vyema ukaondoka na familia yako yote.

matatizo unayoyakimbia tz. utakutana nayo kenya. haswa mungiki. kumbuka kuchukua familia yako with you
Hana familia ni sharobaro mwathirika wa mabomu ya mbagala akahamia G/mboto likabumburuka wacha aondoke na nuksi yake utasikia limelipuka tena huko Kibera.
 
Tangulia hata mie nipo njiani naja huko. Nimechoka kuishi nchi ya watu kama makondoo. Kila wafanyiwalo wamelala tu. Wabunge wameibua ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi-lakini watu wamelala tu. Tunataka katiba mpya, serikali inaleta marekebisho ya katiba-watu wapo kimya wamelalä kama kondoo aliyekunywa maji ya kikombe samunge. Kule kenya wako makini na siasa zao. Nimechoka ubäbaishaji wa siasa za tz. "Kenya hooooyeèeeeeeeeeeeeeeee "
 
Hana familia ni sharobaro mwathirika wa mabomu ya mbagala akahamia G/mboto likabumburuka wacha aondoke na nuksi yake utasikia limelipuka tena huko Kibera.
Kenya yetu hakuna matata....watz wevi sana bana.....
 
Mimi Yo Yo leo tarehe 8 april natangaza rasmi kuukana uraia wa tanzania na kuutupilia mbali na kuwa Mkenya.
Sasa huko Kenya Yo YO utatambulika kuwa wewee ni kabila gani sababu huko Kenya ukiachilia wazungu,waasia,kwa wamatumbi lazima ujitambulishe kwa kabila fulani,then ndio pia mambo yako yaende kikabila,nachelea utaomba urudishiwe tena uraia wa Tanzania,kwani Mungiki hawatakukubali kuwa mmoja wao vilevile Wakale,Wanandi,luhya na Jaruos,pole kaka umeruka kojo umekanyaga kimba la mimavi,loh niombe uraia wa Kenya aheri nikeshe kuomba nipate uraia wa Afaghanistani
 
usihame nchi JIUE kabisa sababu huna faida hata chembe uwaue na familia yako sababu mnaonekana mnafanana akili zenu kwa hyo ni bure tu''karne hii ya dunia kijiji unabadilisha uraia unatafuta nn?
 
Mimi Yo Yo leo tarehe 8 april natangaza rasmi kuukana uraia wa tanzania na kuutupilia mbali na kuwa Mkenya.

Wengine hatushangai maana uko kwenye kundi la Joseph Mungai, Abdulrahaman Kinana. Wambie na wenzio kuachana na Utanzania Maana Tanzania Itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Kweli
 
Back
Top Bottom