Natangaza rasmi dhamira ya kugombea Ubunge 2010

Safi sana kaka
nakumbuka uchaguzi uliopita vile mageuzi ya matokeo yalivyotuduwaza wengi
tupo pamoja jimboni
 
Nakutakia kila la heri. I wish ningekuwa mpiga kura wa huko, angalao my second time vote since 1995 may make a difference!!! Kule kwa Obama 3 votes made a difference for the long waited Health Insurance!! But mkuu, contesting in the urban setting pose srong challenges!!! Get ready, with determination!!!
 
Generally utakuwa na aidha Keenja ambaye hatishi,au Bi shamsha mwangunga fisadi wa ngorongoro naye wasiwasi labda amwage fedha nyingi na hatoweza kwa mujibu wa sheria.

JIPANGE KIJANA JIMBO LAKO!!!:D
 
gombea mkuu, Dar hapana ugumu wowote bana

Kipipili you are right, hakuna sehemu ambayo ni ngumu kama una nia na madhumuni, Mnyika we Gombea tu mzee, tuko pamoja, na tunakuombea ufanikiwe kulinyakua hilo jimbo, experience yako na akili zako zinatawakomboa wana Ubungo.

Big up kamanda.
 
- Ili uelewe kwamba wana-JF tutakutana huko kwenye uchaguzi wa taifa badala ya kukalia hapa tu, vipi kuna sheria imevunjwa au ni zile zile zako za Biodiesel?

FMEs!

Biodisel? haya bana watu wengine hamkawii kutaka kujinyonga. kumbuka nilikuokoa
 
mwka huu tutoe wbunge wa upinzani wengi kuliko ccm ila upresident ni CCM bado, mmh sioni mwanga kwingine!
 
Nakutakia mafanikio mema katika kulikomboa Taifa. Mkuu kuna watu wamesahaulika sana katika jimbo la Ubungo unalotarajia kuligombea. Je watarajie nini kutoka kwako? Ninaamini wewe ni kiongozi mwenye kujua wajibu wake.
 
Generally utakuwa na aidha Keenja ambaye hatishi,au Bi shamsha mwangunga fisadi wa ngorongoro naye wasiwasi labda amwage fedha nyingi na hatoweza kwa mujibu wa sheria.

JIPANGE KIJANA JIMBO LAKO!!!:D

Look like you do not have a full list of CCM aspirants to the seat.
 
Hongera kijana. angalia wasikuangushe tena. nadhani utagombea pamoja na Nape. cha msingi tunahitaji upizani zaidi bungeni
 
Japo nimehama Ubungo lakini kadi yangu inaniruhusu kupigia kura Ubungo, hivyo mzee Kura yangu bado unayo. Tuombe uzima tu isipotee kabla ya uchaguzi maana nahisi uchaguzi utakapokatibia uizi wa mfukoni utaongezeka kupunguza wapiga kura. maana wengi wanatembea na vikadi vyao kama kitambulisho cha uraia

Bigup Man....
 
Kwa hiyo, pamoja na kutangaza dhamira yangu ya kugombea ubunge katika eneo ambalo ni Jimbo la Ubungo; haiwezekani kwa sasa kutangaza kwa hakika nitagombea katika jimbo gani mpaka pale Tume ya Uchaguzi itakapotangaza maamuzi yake kuhusu mgawanyo wa majimbo baada ya kupokea mapendekezo hayo toka kwa serikali. Iwapo Tume ya uchaguzi italigawa jimbo la Ubungo nitalazika kutangaza upande ambao nitagombea. Ni wakati wa mabadiliko; tuwajibike.



John Mnyika
Jimboni Ubungo-21/03/2010


Kwanza nianze kwa kukupongeza kwa uamuzi wako wa busara wa kugombea katika jimbo la Ubungo. Ni matumaini ya kuwa kipindi hiki utakuwa more strategic katika kampeni .

Ila nimeshtushwa na mapendekezo ya tume ya uchaguzi ya kuongeza majimbo , mimi nadhani hii ni mbinu ya kisiasa inayokuza ukubwa wa serikali. Ni lazima tutambue ya kuwa tatizo la watanzania sio uwakilishi bali maendeleo ! Kitu kingine kinachonishtua, ni timing ya hili jambo . Kwa nini wasubiri miezi nane kabla ya uchaguzi ufanya hivi ?
 
Pasi shaka kwa kuzingatia taratibu, CHADEMA imeridhia na kukupitisha kugombea katika jimbo lolote lile?...ikiwa hivyo, pana shaka, sie wananchi twategemea maendeleo ya vitendo na sio porojo za kisiasa kama ilivyo sasa kwa waheshimiwa wengi si tu wa chama tawala bali pia wa upinzani!.Mkianza kuomba "kula", propaganda nyingi za kuleta maendeleo kwa vitendo, lakini tukiwapa "kula", yote huwa ni nadharia tu!,.
Kwahi hiyo? Pasiwepo na kugombea? Hatuna haja na bunge? hatuna haja na mabadiliko? je mabadiliko yatakuja vipi wasipopatikana wagombea?
 
asante kwa taarifa mbunge wangu ..ngoja nikajiandikishe nisije kosa kupiga kura...this time lazima kieleweke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom