Natangaza Ndoa

mkuu mbona zingine umetangaza za jinsia moja kumbe mchungaji ni wakanisa lileeeee!

Kama iko wapi,me nimepewa na Invisble nitangaze,kwahiyo yatakuwa ni makosa ya uongozi wa JF ambao ndio waratibu wa hii shughuli.
 
ngoja Max aione hii, utapigwa ban la maisha wewe, shauri yako!!

Kumbe haka ka Max ni kadikteta kadogo kadogo eehh, ila namwamini mkuu na nitaiombea ndoa yenu ipate baraka na mjaaliwe watoto kama uzao wa sisimizi.LOL
 
napata mawivu mieee, wote niliokuwa nawalia timing naona wapo barabarani
 
Gbolin............

Kama wewe ni she, natangaza ndoa na wewe. Babu atakufaa sana.

Kama wewe hi he, hebu fanya hisani uniteulie binti mrembo wa kuoa.
 
nyani ngabu umenizidi ujanja! Mi nitakua kamati ya mapokezi huko naweza mpata mpenz mwingine, nadhan cheusi mangala ananisoma vyema!

M-pm michelle kanidokeza kuwa anatafuta mchumba na yeye atakuwa kamati ya vinywaji. Haraka kuna njemba moja inamnyatia na ikisikia hapa ita-mp haraka.
 
umecopy ametuma eiyer uzi kama huu mod ondoa hii,inaondoa heshima kwa threads za watu.acha kucopy make ur own topic

Mkuu heshima mbele.
Nawe hujui kutofautisha?? Jamaa kumbuka alisema kuwa itapendeza ndoa za JF zikiwa hivi, huu uzi nimeupata toka kwa watawala wa JF,hizi ni ndoa za ukweli kabisa na sio danganya toto,acha kulalamika,kama huna mchumba m-pm invisble akutafutie au mwambie akutafutie kamati akuweke. Unapoteza muda kuweka argument za ajabu ajabu hapa wakati wenzako wanaota vitambi.
 
Gbolin............

Kama wewe ni she, natangaza ndoa na wewe. Babu atakufaa sana.

Kama wewe hi he, hebu fanya hisani uniteulie binti mrembo wa kuoa.

Mkuu mimi Me,nimpendae ni faizafoxy manake ana jicho la wizi huyu binti ila tatizo ustadhi mohames shossi kaniwahi,nimekumbuka mkuu, natangaza ndoa kwa husninyo.
 
Mkuu mimi Me,nimpendae ni faizafoxy manake ana jicho la wizi huyu binti ila tatizo ustadhi mohames shossi kaniwahi,nimekumbuka mkuu, natangaza ndoa kwa husninyo.

Husninyo popote ulipo.

Njoo kitandani kwa babu huku.
 
Mkuu heshima mbele.
Nawe hujui kutofautisha?? Jamaa kumbuka alisema kuwa itapendeza ndoa za JF zikiwa hivi, huu uzi nimeupata toka kwa watawala wa JF,hizi ni ndoa za ukweli kabisa na sio danganya toto,acha kulalamika,kama huna mchumba m-pm invisble akutafutie au mwambie akutafutie kamati akuweke. Unapoteza muda kuweka argument za ajabu ajabu hapa wakati wenzako wanaota vitambi.

nataka kukuongeza ww uwe mke wangu wa tatu!ili kitambi changu kipungue.
 
Kati ya Uporoto na Cheusi Mangala, Max Melo na Miss Judith, Mama Groly na Dr Phone, Afrodenzi na Nyani Ngabu, Buji Buji na Blackberry.
Kwa maelezo zaidi M-Pm Rev Masa ambaye atabariki ndoa hizo pia Natangaza ndoa kati ya Faiza Foxy na Mohamed Shossi, kwa maelezo zaidi M-Pm Sheikh Malaria Sugu (MS) ambaye atasimamia ndoa hiyo.

Ndoa zote zitafungwa hivi karibuni, nafasi za wanakamati ziko wazi na wana MMU mnaruhusiwa kugombea.

Long live JF married.

Jamani mie naomba dili ya matarumbeta ha ha ha ha ha.
 
BellaSpice06.jpg

kama kapata kitu kama hicho aoeee......

hivi Yo Yo,hii under wear aliyovaa,
huyu binti ndo inaita thong au g string?

Dah, huu uzee nao, napitwa na mengi sasa......
 
Back
Top Bottom