Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Haiwezi kutokea!ngoja Max aione hii, utapigwa ban la maisha wewe, shauri yako!!
Haiwezi kutokea!ngoja Max aione hii, utapigwa ban la maisha wewe, shauri yako!!
mmmmmmhhhItabidi tucheki kwanza na resident reverend wetu hapa.
Ni akina nani hao?mmmmhhhhh
Hivi Mbuzi na Simba wanaruhusiwa
kulala zizi moja daaahhh hhhhhh
ngoja Max aione hii, utapigwa ban la maisha wewe, shauri yako!!
Ni akina nani hao?
Ahahahaaah!! Inabidi uwe makini sana na akili ya ziada ya kuchambua mambo!Ndo maana kutafuta mchumba mitaa hii headache. Kuna miwatu nilijua ni ke sasa naona wapo kwenye me.
Kamati ya mapokezi kumbe inafaa sana, unaweza kupata mpenzi! Kama kuna nafasi nipigie debe nami nipate hiyo chansi ya kuwa mwanakamati...nyani ngabu umenizidi ujanja! Mi nitakua kamati ya mapokezi huko naweza mpata mpenz mwingine, nadhan cheusi mangala ananisoma vyema!
Ahahahaaah!! Inabidi uwe makini sana na akili ya ziada ya kuchambua mambo!
Ahahahaaah!! Muulize Malaria Sugu, aliokolewa na rufaa......lol.dahhhhhhhh
Hivi kumbe kuna Ban ya Maisha JF
Ahahahahaaah!! Au unakuta ni baba yako.....lol..Labda uwe shehe nanihii. Badala ya kuchanganua na kuchmbua, utachanganuliwa. Unampm unakutana nae ana ndevu kuliko wewe.
Ahahahaaah!! Muulize Malaria Sugu, aliokolewa na rufaa......lol.
Ahahahahaaah!! Inabidi uwe makini.....
mmmmhhhhh
ngoja nifunge safari kuelekea PM
maana naogopa kuogea na yule jamaa hapa
ntapigwa Ban ajili yake mmmhhhhh
kati ya uporoto na cheusi mangala, max melo na miss judith, mama groly na dr phone, afrodenzi na nyani ngabu, buji buji na blackberry.
Kwa maelezo zaidi m-pm rev masa ambaye atabariki ndoa hizo pia natangaza ndoa kati ya faiza foxy na mohamed shossi, kwa maelezo zaidi m-pm sheikh malaria sugu (ms) ambaye atasimamia ndoa hiyo.
Ndoa zote zitafungwa hivi karibuni, nafasi za wanakamati ziko wazi na wana mmu mnaruhusiwa kugombea.
Long live jf married.
Ahahahahaaah!! Au unakuta ni baba yako.....lol..
Dogo umeniibia mistari ee!!