rejao ni mtu wangu siku nyingi nimepanga nae mipango mingi na kumuacha siwezi moyo wangu haumjui mwanaume mwingine wala hauwezi kumuingiza mwingine maana pasword imbeblock kwa rejao nisaidie nitonye
Mmmmh hao wenye redi waache kabisaa, wanaweza wakachana chana your wedding gown ukakosa cha kuvaa!
Bora huyo mwenye blue!
canta my best friend unanisaliti? unapanga kufunga ndoa na mountain dew wangu tena unaniweka kwenye kamati kabisa jamani?
kaa ngoja basi ata anipe hii:mimba:My swty mamito kizuri kula na nduguyo,mie wala cjakusaliti mpnz ndio maana ckutaka kuyamaliza faragha nimeweka hadharan,my dia plz nipe sapoti yako niweze kuiteka himaya ya moyo wa rejao nikamilishe furaha ya maisha yangu,can u help me smile?
Mamito,usijali tukitoka hane mun nitamruhusu japo usiku mmoja nawe ujitahidi kuutumia vizuri maana nitakuwa nae bize sana,kwan namie naitaka sana hiyo kitu mpnz!kaa ngoja basi ata anipe hii:mimba:
Jaman pole sana my dia bro,naamini atakuwa salama na atafurahi kukuona!Hope wifi yuko powa lakini sijaonanae maana nimefunguliwa jana usiku halafu alikuwa
ameshalala.
naona mwenye sredi umerudi, keyboard imekuwa ya moto, ulimi umekuwa mzito, moyo umesimama!rejao ni mtu wangu siku nyingi nimepanga nae mipango mingi na kumuacha siwezi moyo wangu haumjui mwanaume mwingine wala hauwezi kumuingiza mwingine maana pasword imbeblock kwa rejao nisaidie nitonye
sikutaki tenanaona mwenye sredi umerudi, keyboard imekuwa ya moto, ulimi umekuwa mzito, moyo umesimama!
Sijui hata niongee nini!
My swty mamito kizuri kula na nduguyo,mie wala cjakusaliti mpnz ndio maana ckutaka kuyamaliza faragha nimeweka hadharan,my dia plz nipe sapoti yako niweze kuiteka himaya ya moyo wa rejao nikamilishe furaha ya maisha yangu,can u help me smile?
kaa ngoja basi ata anipe hii:mimba:
sikutaki tena
Swty darling,wala usipate kigugumizi,smile keshabwaga manyanga kwa ridhaa yake,naona mwenye sredi umerudi, keyboard imekuwa ya moto, ulimi umekuwa mzito, moyo umesimama!
Sijui hata niongee nini!
Umeonaeee,Naona smile keshakubaliana na hali halisi!!
Tuanze kufanya shopping!!
Wow!!!!!Darling mie nimependa hilo la kwanza hapo,coz liko simle na ndio ugonjwa wangu,Tunaanza na Wedding dress...suti baadaye!
View attachment 48409
View attachment 48410
View attachment 48411
naota au? Rejao wewe ni wa kunifanyia hvi leo? Nilikosea wapi my love?tunaanza na wedding dress...suti baadaye!
View attachment 48409
View attachment 48410
View attachment 48411
Am happy umependa gauni..Wow!!!!!Darling mie nimependa hilo la kwanza hapo,coz liko simle na ndio ugonjwa wangu,
Vp viatu,heren,chen na crowns!!!!
bi harusi gani hujui hata kuchagua nguo?wow!!!!!darling mie nimependa hilo la kwanza hapo,coz liko simle na ndio ugonjwa wangu,
vp viatu,heren,chen na crowns!!!!
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mama yangu eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeam happy umependa gauni..
Namtafuta designer mzuri aandae wedding accessories zote!
haya maneno yako hapa chini yameniumiza sana!!naota au? Rejao wewe ni wa kunifanyia hvi leo? Nilikosea wapi my love?
sikutaki tena
Heeee heee eeeee hallowwwww!!!bi harusi gani hujui hata kuchagua nguo?