Natangaza nampenda "Smile"

yeye si ana uhakika na wewe
mie nikizubaa, naogelea kwenda zanzibar
hahahaa.. lol...ulivyo na wivu umenikumbusha mahausgirl wa jirani yangu walichomana visu wakimgombania baba mwenye nyumba!!!
 
Cantalisia, funguka tu...hata kama ni rejao mtaje tu...

Orait!jaman mwenzen Rejao unaninyima ucngize mie,naomba nikubalie na moyo wangu upate kiota nafsin mwako!dah!ngoja nipumzike kidogo kumbe kutoa mtu c mchezo lol!
 
Orait!jaman mwenzen Rejao unaninyima ucngize mie,naomba nikubalie na moyo wangu upate kiota nafsin mwako!dah!ngoja nipumzike kidogo kumbe kutoa mtu c mchezo lol!
ooh Canta, karibu sana kwangu, asante kwa kuwa muwazi
Mapenzi kitu ajabu, yakutia bumbuwazi
Yakufanya uwe bubu, kujibu huwa huwezi
Shubiri kwako zabibu, na vitamu huviwezi.
 
ooh Canta, karibu sana kwangu, asante kwa kuwa muwazi
Mapenzi kitu ajabu, yakutia bumbuwazi
Yakufanya uwe bubu, kujibu huwa huwezi
Shubiri kwako zabibu, na vitamu huviwezi.

Toa majibu bana hujui moyo wangu unavibrate hapa na unahitaji tulizo lako tu na kuwa kwenye silence mode lol!nataka kujikabidhi kwako na kuwa mali yako peke yako,ujilie vitamu kwa kujipimia kwa tani yako,plz rejao inusuru nafsi inayotanga tanga bila msaada lol!
 
Nimeshakufungulia moyo wangu...karibu kwangu utulie!
Moyo wako uweke kwangu, ni wewe kwangu wa pekee!
 
Rejao na canta mnachakachua sredi ya watu..
Amyner,
Wenyewe wamekimbia, uwanja wametuachia...wao wameshaelezana ya kwao, na sisi ngoja tuambiane ya kwetu!
 
hivi nyie wakaka nimewakosea nini???
mbona kila siku siku nasoma sredi za wenzangu kulaviwa na sio mimi???
yaan hata REJAO hanitaki...........duh

Usijari mimi ntakuanzishia next year.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…