<br />
<br />
Ona taahira jingine hili. Ndio maana mnawachora kina Messi kwenye pepa. Mnavuta mabangi na viroba halafu mnasema walimu walifeli.
Ficha upumbavu wako.
kwakweli chama kinatumaliza, kimekuwa wakala wa serikali
Mwalimi this is very unfair. Umepewa dk. 40 kufundisha masomo ya darasani. Kama unazitumia kwenye siasa huwatendei wanafunzi haki ndiyo maana wanafeli kwa kiwango hiki. Too bad.mm ndio nimeingia juzi kwenye ajira mpya za serikali. Tulipofika tu mkuu anatutisha eti mambo ya siasa tuachane nayo,Huo ni ujinga,drns kwangu mm kipindi cha dk 80 lzma niwe na dk 20 za kuwaeleza wanafunzi wangu uovu na ubaya wa serikali na huwa ninazitumia kisawasawa,na mwisho wanafunzi wachache lzm uwaone wanatoa machozi na ni lzm waniulize mwl tuambie tufanyeje?Swali hili lina ujumbe mzito kwa serikal ya ccm kwani ninawaeleza yawapasayo kufanya.
SERIKALI KUWA MAKINI SANA,VIJANA TULIOMALIZA SHAHADA NDIO TUMEKAMATA SYSTEM YA ELIMU HUKU MASHULENI (SHULE ZA KATA),WALE WALIMU WAZEE WA ZAMANI WANAOTII UPUMBAVU WENU NA WALIOFOJI VYETI NDIO WANAISHIAISHIA HIVYO.
wadau mimi ni mwalimu mtarajiwa na Mungu Akipenda Hapo Mwakani Nitakuwa Ktk Ajira Mpya...Sasa Nimesikia Kuhusu Hii Kitu CWT kuwa sio hiari ni lazima kwa mwalimu kujiunga.. pia kuna makato nasikia 12% ya mshahara inaenda huko.. naombeni ufafanuzi kwanini iwe lazima kujiunga wakati katiba inasema mtu asishurutishwe kujiunga na chama chochote pasi na hiari yake? au kama swali litakuwa gumu naomba nijulishwe faida za kuwa mwana cwt..nitashukuru hasa nikipata michango ya walimu wazoefu.
wako kila wilaya tafuta office zao au ask any teacher about it.