Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

Walimu mtalia sn kwa mtindowenu wa kukumbatia CWT,
Jifunzene kwa mataifa mengne,nyie mnaishi kama mliosoma memkwa hahahaha,walimu hawajiongezi hata kdog cwt inawadangny kila sku,chama gani unaingia bila kupenda....?
Walimu amkeni msilale kama misukule
 
Hodi walimu! Walimu amkeni tupige vita cwt kukata mshahara wa walimu hakuna manufaa yoyote ya kukatwa fedha zetu! Mjengo wa CWT una faida gani kwako mwalimu? Eti! Benki ya nini? Wakati vitega uchumi vinazalisha tugawane kwanza faida ya mjengo ndo benki ianzishwe. La sivyo no benki no saccos.

Tusomewe mapato na matumizi ya mjengo! Tupige vita kukatwa na CWT Isiwe ni kichaka cha kina Mkoba kufanya ufisadi, tuma kwa walimu 20.

Muhimu kwa walimu ni kuamka na kukidai.chama chao sio kujitoa........kila mwalimu awe na katiba na.aiishi katiba.......
 
Back
Top Bottom