Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

Mwalimu Mpanda kwanza poleni sana na majikumu ya kulielimisha taifa letu.

Pili nikili kwamba mimi sio mwalimu lakini ni mmoja wa watanzania wenye uchungu mkubwa na sekta hii nyeti hivyo ni mdau wa elimu. Sasa naomba niseme yafuatayo.
  • Naomba nikushauri usijitoe kwenye chama cha ualimu kwani utakuwa umepoteza nguvu moja kubwa sana ajabu sana ambayo inaweza kutusaidia katika mabadiliko. La msingi, kama unaona viongozi waliopo hawafai, basi tumia mfumo na taratibu zilizopo ili muweze kubalisha; lakini mimi binafsi bado naamini viongozi wamefanya vema.
  • Viongozi wa CWT wamejitahidi sana useme sikio la kufa halisikii dawa. Serikali yetu ni sikio la kufa.
  • CWT ni chama cha wafanyakazi mfano wa kuigwa nchini. Ni chama kinachojiendesha kisasa, kinachoongozwa na walimu lakini wenye maono ya kiuchumi. Ebu nitajie chama gani cha wafanyakazi chenye utulivu wa ndani kama CWT? Chama gani kimetumia ela za wanachama vizuri hadi kujenga jengo la mabilioni kama Mwalimu House? Leo hii CWT kimejenga ofisi zake mikoa yote Tanzania bara. Ni malengo haya mazuri ya CWT, tayari ina mpango wa kufungua benki ya waalimu ili muachane na kukopa mikopo ya bei ghali (sijui kibali cha Benki Kuu kimefika wapi).
  • Naomba ubaki CWT ili mtusaidie katika ukombozi. Ni kweli taalama yenu imedharauliwa basi ni wakati wa kuonyesha umuhimu wenu japo naona kama mmechelewa. Wanasiasa wamewatumia sana wakati wa uchaguzi na kuwatupa baadae. Tambua kwamba nyie ndio wasomi mliotapakaa Tanzania nzima. Hakuna wahasibu, wahandisi, wachumi, wanasheria vijijini zaidi ya waalimu. Tusaidieni katika ukombozi wa taifa hili.
  • Kuondoka CWT ni hasara na sitegemei leo hii mtaanzisha mara moja taasisi imara kama CWT!
Mungu awatie nguvu!
 
Walimu bwana!mikwara mingi ila kwenye kutekeleza ndio taabu kweli kweli!
 
Walimu mpo wapi? Au ndo tuseme humu jamvini mpo wachache kiasi hiki? Tangu post hii iwe hewan, siwaoni mkichangia kwa wingi. Kwa walioni PM, nawaahidi kuwapa full address tuwasiliane
 
mm ndio nimeingia juzi kwenye ajira mpya za serikali. Tulipofika tu mkuu anatutisha eti mambo ya siasa tuachane nayo,Huo ni ujinga,drns kwangu mm kipindi cha dk 80 lzma niwe na dk 20 za kuwaeleza wanafunzi wangu uovu na ubaya wa serikali na huwa ninazitumia kisawasawa,na mwisho wanafunzi wachache lzm uwaone wanatoa machozi na ni lzm waniulize mwl tuambie tufanyeje?Swali hili lina ujumbe mzito kwa serikal ya ccm kwani ninawaeleza yawapasayo kufanya.
SERIKALI KUWA MAKINI SANA,VIJANA TULIOMALIZA SHAHADA NDIO TUMEKAMATA SYSTEM YA ELIMU HUKU MASHULENI (SHULE ZA KATA),WALE WALIMU WAZEE WA ZAMANI WANAOTII UPUMBAVU WENU NA WALIOFOJI VYETI NDIO WANAISHIAISHIA HIVYO.

sasa wewe na digrii yako lakini unakula mihogo, bagia na ubuyu! chips yai utaziweza, hapo ulipo godoro na kitanda hujanunua bisha? tena unalala kwenye jengo la maabara ambayo haijaisha!

CHADEMA IKICHUKUA NCHI NAJINYONGA
 
Mpanda jr tumekuelewa mkuu, mashuleni 2namwaga sumu kali nawaomba waalimu wenzangu 2siishie kuwaambia wanafunzi udhalimu wa serikali ya ccm bali pia 2waambie wajitokeze kwa wing kujiandkisha kweny daftar na kupata id za kupigia kura CCM kwsha hbr yak
 
Kwanini ni lazima kujiunga cwt? Naomba nipatiwe maelekezo ya namna ya kujitoa cwt kwa mujibu wa katiba ya cwt, wezi wakubwa wale!
 
mm ndio nimeingia juzi kwenye ajira mpya za serikali. Tulipofika tu mkuu anatutisha eti mambo ya siasa tuachane nayo,Huo ni ujinga,drns kwangu mm kipindi cha dk 80 lzma niwe na dk 20 za kuwaeleza wanafunzi wangu uovu na ubaya wa serikali na huwa ninazitumia kisawasawa,na mwisho wanafunzi wachache lzm uwaone wanatoa machozi na ni lzm waniulize mwl tuambie tufanyeje?Swali hili lina ujumbe mzito kwa serikal ya ccm kwani ninawaeleza yawapasayo kufanya.
SERIKALI KUWA MAKINI SANA,VIJANA TULIOMALIZA SHAHADA NDIO TUMEKAMATA SYSTEM YA ELIMU HUKU MASHULENI (SHULE ZA KATA),WALE WALIMU WAZEE WA ZAMANI WANAOTII UPUMBAVU WENU NA WALIOFOJI VYETI NDIO WANAISHIAISHIA HIVYO.

Nimeamini, nilikuta watoto wadogo darasa la 5-7 wanajadiliana udhaifu wa serikali nikaogopa, walikuwa wanasisitiza ngoja wafike miaka kumi na nane. AISEEEH, LEO NIMEPATA JIBU, KAZI KWELIKWELI.
 
Leo nakumbushia. Hiyo nyongeza ya mshahara itakuwa na maana gani kama NAULI JUU, MAFUTA YA MAGARI JUU maana yake ni kama ile topic ya ISOSTACY ya geography. Ugumu upo pale pale. Walimuuuuuu
 
We mzee acha kudanganya walimu hebu kuwa na busara,mbona kigoma hawana hiyo mambo na bado wanaishi fureshi tu,kuwa muelewa
Mwalimu Mpanda kwanza poleni sana na majikumu ya kulielimisha taifa letu.

Pili nikili kwamba mimi sio mwalimu lakini ni mmoja wa watanzania wenye uchungu mkubwa na sekta hii nyeti hivyo ni mdau wa elimu. Sasa naomba niseme yafuatayo.
  • Naomba nikushauri usijitoe kwenye chama cha ualimu kwani utakuwa umepoteza nguvu moja kubwa sana ajabu sana ambayo inaweza kutusaidia katika mabadiliko. La msingi, kama unaona viongozi waliopo hawafai, basi tumia mfumo na taratibu zilizopo ili muweze kubalisha; lakini mimi binafsi bado naamini viongozi wamefanya vema.
  • Viongozi wa CWT wamejitahidi sana useme sikio la kufa halisikii dawa. Serikali yetu ni sikio la kufa.
  • CWT ni chama cha wafanyakazi mfano wa kuigwa nchini. Ni chama kinachojiendesha kisasa, kinachoongozwa na walimu lakini wenye maono ya kiuchumi. Ebu nitajie chama gani cha wafanyakazi chenye utulivu wa ndani kama CWT? Chama gani kimetumia ela za wanachama vizuri hadi kujenga jengo la mabilioni kama Mwalimu House? Leo hii CWT kimejenga ofisi zake mikoa yote Tanzania bara. Ni malengo haya mazuri ya CWT, tayari ina mpango wa kufungua benki ya waalimu ili muachane na kukopa mikopo ya bei ghali (sijui kibali cha Benki Kuu kimefika wapi).
  • Naomba ubaki CWT ili mtusaidie katika ukombozi. Ni kweli taalama yenu imedharauliwa basi ni wakati wa kuonyesha umuhimu wenu japo naona kama mmechelewa. Wanasiasa wamewatumia sana wakati wa uchaguzi na kuwatupa baadae. Tambua kwamba nyie ndio wasomi mliotapakaa Tanzania nzima. Hakuna wahasibu, wahandisi, wachumi, wanasheria vijijini zaidi ya waalimu. Tusaidieni katika ukombozi wa taifa hili.
  • Kuondoka CWT ni hasara na sitegemei leo hii mtaanzisha mara moja taasisi imara kama CWT!
Mungu awatie nguvu!
 
Jamani mimi ni mwalimu mpya tema mpya kabisa changes nianzia nyumbani kuanzia bibi mwenyewe ni chadema, baba ni chadema,mama ni chadema na huku kazini kuanzia mkuu wa shule mpaka mgonga kengele wote chadema,na lazima wale pindi.huku pindi hilo linaitwa "wasaka tonge period"kwenye chai tunaomba hadi miongozo ya mpishi .mwigulu kutukanwa ndo kama chai,cwt mgomo ujao chari.subili nilale nisubili kesho
We mzee acha kudanganya walimu hebu kuwa na busara,mbona kigoma hawana hiyo mambo na bado wanaishi fureshi tu,kuwa muelewa
 
hakuna kada ambayo ikishiriki mabadiliko vzr basi ccm itakuwa hatarini kama walimu walimu wakiamua nirahisi sana kuipiga chini ccm
 
Mkuu walimu sijui wamekuwaje? Wanapokua vyuoni wanakuwa very radical lakini huko mashuleni wamegeuka kuwa makondoo.
 
Leo nakumbushia. Hiyo nyongeza ya mshahara itakuwa na maana gani kama NAULI JUU, MAFUTA YA MAGARI JUU maana yake ni kama ile topic ya ISOSTACY ya geography. Ugumu upo pale pale. Walimuuuuuu

Nimekusoma Mwalimu!
 
We mzee acha kudanganya walimu hebu kuwa na busara,mbona kigoma hawana hiyo mambo na bado wanaishi fureshi tu,kuwa muelewa

Kigoma hawana hiyo mambo una maana gani? Unamaanisha Kigoma hamna CWT ama?
 
Utafiti wangu unaonesha kwamba walimu ni sekta ya watu waoga sana! Ambao maisha yao wameyakunyata mbele ya viongozi wa kisiasa kikondoo kabisa. Yaan unakuta mwalimu ana Bachelor lakin anatishwa na diwani wa CCM mwenye standard 7 failure. Pia nimegundua walimu kwa maelfu yao ni watu walio nyuma sana kimfumo wa mawasiliano kama mitandao ya kijamii, magazeti, redio na Tv. Yaan hawajishughulish kabisa na current issues wala weng wao hawana muda hata wa kufuatilia mambo ya kitaifa kabisa (Wanasema wao ni watumishi wa umma, kwa hiyo hawahusiki). Walimu tunaharibu kizazi kwa kuwa dormant katka fahamu zetu, hata kwa kufuatilia mambo tu? Furaha yetu isiwe kuongezewa mishahara tu, bali tutazame namna taifa linavyozama katika kuuzwa kwa mikataba tata na ufisadi wa kutisha. Tubadilike!
 
Wapumbavu tu nyie walimu,mmeshindwa kuungana kudai haki zenu mmebaki kulalamika tu,subirini uchaguzi umekaribia mkasimamie mpate hizo 2000 zenu ndo stahiki zenu!

Yaani ukweli walimu ni watu wanaochekesha sana, wakati wenye akili wanajiunga wao wapo busy kutawanyika. Hivi unadhani walimu bila kuwepo hata kwa chama hicho japo ni goigoi mngekuwa wapi? mara zote nimewaona viongozi wenu wakilalamikia uoga wenu kudai haki zenu, Kwani siri hata migomo 8inayoitishwa ambayo wengi mnadhani ni dili tumewaqona kwenye TV WENGI mkiendelea kufundisha kana kwamba hakuna mgomo.
Ukifuatilia mwl Mpanda utakuta anataka kuanzisha uwakilishi mwingine upi? uanzishe chama sasa wewe hutakata ada ya uanachama kwa uakilishi unaodai?

Come on teachers mbona mnakatwa 13% income tax, 5% mifuko ya hifadhi ya jamiif, 3% bima ya afya? cha ajabu mnalalamikia makato ya 2% ambayo ndo nguvu yenu. Kinachonifanya mimi nishtuke kwanini serikali iko bize kukivunja chama hiki kuliko chengine? Mulugo alisema bungeni akitaka wabunge warekebishe sheria ya ya vyama vya wafanyakazi lengo kuwadhibiti walimu na chama chao na walimu nao wanaingia kwenye project ya serikali aidha kwa kujua au kutokujua.

Kama viongozi wenu wabovu kwanini msiwatoe hata kwa nguvu ya umma kuliko kutaka kuuvunja umoja wenu! Inaniuma mno kwakuwa mke wangu ni mwalimu na kuna siku alilipwa hela yake ambayo alihama kunifuata mwajiri akakataa kumlipa alienda CWT katibu wa wilaya akamwambia lazima alipwe nakweli yule mzee alikomaa na akalipwa.

Walimu wengi ni walalamishi sana hadi mtakapo kubali kuwa hakuna kitu kinaweza kutokea bila ushirikiano wenu! mgomo wenu ulidumu siku4 ulitikisa nchi mbona mnajidharau hivi? Still nawaheshimu, nawaomba shikamaneni!
 
mna hela nyie!!!!!! mgomo appr 1 billion?????!!

3. CWT imetumia zaidi ya Tsh 780,000,000 kwa ajili ya Posho za vikao vya maandalizi ya mgomo, kuandaa nyaraka za kisheria, matangazo na machapisho mbalimbali juu ya mgomo. Lakini viongozi hao walifanya makusudi kufanya hivyo wakijua kabisa kwamba wanafanya mgomo huo kwa kuzuga na utaangukia wakati wa likizo ya sensa ya watu na makazi na hivyo hautakuwa na madhara yoyote bali utaibua mijadala tu.
 
Hiki chama nikwajili ya walimu washule za serikali tu maana walimu wa private hakijui chama hiki inakuaje?
 
Mimi ndo namalizia digrii yangu hapa UDSM.msimamo wangu na walimu wenzangu hapa ni kuwa hatutak kukatwa hela za CWT coz hatuon umuhimu wa hizo fedha kwetu.chama kina vitega uchumi vya kutosha kinaweza kujiendesha.

Ufundishaj uko hiv;
kipind ni dk 40.
-dk 10 kueleza uovu wa Ccm na serikal yake.
-dk 5 hatua sahih za kuchukua.
.kuwajulisha na kuwaamasisha wazaz wao kujiunga CHADEMA
.Wenyewe kujiunga na jesh la ukomboz
.kuhakikisha wanajiandikisha kupiga kura
.kujiweka update na nchi inavyokwenda hata kupitia kwetu walimu.

>CCM hamuwez kucheza na watu walioko JIkon.
Kura tutasimamia sis hamna wiz,
kwisha habar yenu Ccm 2015
 
Back
Top Bottom