Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Halafu Ave una mdomo we mkemke...lol
Ila nishakuzoea na majungu yako
Kama nina majungu . . . na steel wire kwa mangi huwa nanunua za nini?
teh! Unalo!!!!!
Halafu Ave una mdomo we mkemke...lol
Ila nishakuzoea na majungu yako
Hahahhaha
Mamndenyi kafanyaje?
Hahahahaaa
eti kwa Mangi lol
Usinichekeshe hadharani ebooo
Mbafu zangu
hata mimi nashangaa hiyo hanemuni gani kila mtu yupo sehemu tofauti labda ni ya imagination.
Teh kuna zawadi yako toka kwa mke mwenzio....uko tayari kuipokea?