Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

Hahahaaa
Mr Rocky hiyo kesi ya Meatu inabidi ipelekwe Mahakama kuu maana mie nishachoka kulea wanao wakati wewe unatapatapa na wake wako akina Dena Amsi na Mamndenyi
Kesho nenda kawachukue kabla sijakuletea watu wa haki za binadamu.

Btw niko poa kabisa... Chocs anakusalimu sana

Mbona hutaki tukapime DNA wewe Erickb52 kujua baba halisiu wa watoto hao wewe unaruka ruka kwa starehe zako na mkeo Chocs tuu
Mke wangu Dena Amsi mzima kabisa anakusalimia sana na mkeo Chocs
 
Last edited by a moderator:
Copy received:
Wakati mwingine huwa una busara brother.
Hilo kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom