Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Hahahahaaaaa Mungi kumbe na wew wa huku...... Naas khayee
Kukawaxuu any tlomar awake? Daktana toka ng'iwaxuu an amornidahh a tlomar âwak
Hahahahaaaaa Mungi kumbe na wew wa huku...... Naas khayee
Kukawaxuu any tlomar awake? Daktana toka ng'iwaxuu an amornidahh a tlomar âwak
An sleme ng'wakhuu kwa he ba tlomar awak... Lati a he ba yama tsaa
Mimi sita chagua mbwa nta mchagua mwwnye mbwa lol
Chadema mka lale mkue
Kukawaxuu any tlomar awake? Daktana toka ng'iwaxuu an amornidahh a tlomar âwak
An sleme ng'wakhuu kwa he ba tlomar awak... Lati a he ba yama tsaa
acha upambavu wewe ndo umeandika nn sasa? Jinga kubwa
Dogo jimbo la Karatu si la kuongozwa na wanafunzi wa Mrugo. Biashara ya mbao inafaa sana jimbo hilo sababu mji bado unajengeka, ukipungukiwa mtaji uni pm
Ungegombea kupitia ccm kazi ingekuwa rahsi kuchukua jimbo
Wanabodi amani iwe nanyi na poleni na majukumu ya kutafuta rizki....
Jimbo la Karatu ni jimbo lenye heka heka nyingi sanaa za kisiasa, ni kiini cha mabadiliko katika nchi hii, ni kati ya maeneo yenye historia kwenye medani za kisiasa,, jimbo hili limekuwa chini ya CHADEMA toka mwaka 1995 kipindi hicho mbunge wake akiwa Mh. DR.WILLBROAD PETER SLAA.... nimeamua kujitosa kugombea jimbo la Karatu kupitia chama changu CHADEMA,, sifa zote ninazo, ntafuata taratibu zote ndani ya chama changu ,,nitayasikiliza na kuyahishimu mawazo na maoni ya viongozi wangu wa chama,, umri wangu unaniruhusu,jimbo lile kwa sasa linahitaji kijana ambaye ataweza kuendana na pilika pilika za maendeleo ya haraka kwa jimbo lile,, barabara za mji na stendi ya magari ni changamoto kubwa sanaaa kwa mji wa karatu wenye vyanzo vingi sana vya mapato ikiwemo utalii ambapo Karatu ni center ya hifadhi za NGORONGORO na MANYARA,, mji una hotel nyingi sana kitalii,rasilimali za madini nk....
Maji bado ni changamoto kubwa sana wakati mji wa karatu umezungukwa na rasilimali nyingi sana misitu ambayo ni chanzo kizuri cha maji....
Ndugu zangu wanakaratu mnahitaji kijana atakayeweza kuendana na siasa za speed kubwa kwa maendeleo ya haraka sanaaa...... Kijana wenu kamanda HARIOHAY nahitimu chuo mwaka huu mwezi June,, nakuja kujitosa ili jamii yangu inufaike na elimu yangu na nguvu yangu...
Naomba mnipokee ili tupate maendeleo ya haraka sanaa,, Mimi ni mtoto wenu nimesomea shule yenu ya kata,, sasa naomba muonje matunda ya mtoto wenu ambaye ni zao la shule zenu za kata, nazijua changamoto zilizopo kwenu, maisha yenu nayajua vizuri,, familia yangu ni kimaskini sana, naamini nitawatumikia kwa upendo na unyenyekevu wa hali ya Juu.
Ahsanteni sanaaa Mungu awe kiongozi wetu daima....
Wenu,
Gjhariohay!
Ahsante sana kiongozi... Niombee sana nitimize kwa uaminifu hiki kilichoko moyoni mwangu
Mpuuzi yoyote anayekuja kwa gia ya ujana ndio kigezo cha kuchaguliwa namdharau sana.tangu slaa amkabidhi mikoba mchungaji Natse hatujaona kashikashi zozote kutoka kwa mh Natse ni wakati sasa awaachie vijana wenye upeo mkubwa wafanye kazi,mkuu nakuunga mkono
Garma amor karaturo loaros gan to qwaremis, amor hatla bingaiar a tsini
ungegombea kupitia ccm kazi ingekuwa rahsi kuchukua jimbo
ungegombea kupitia ccm kazi ingekuwa rahsi kuchukua jimbo
Ungegombea kupitia ccm kazi ingekuwa rahsi kuchukua jimbo
Ungegombea kupitia ccm kazi ingekuwa rahsi kuchukua jimbo