Natangaza kugombea ubunge jimbo la KARATU...

xayeng aha mas karatu kwaxueeke jimbor ar KILINDI ner HANDENI irqo kar ur kuliko wenyej?has kilindi.s\mitaa slemero irqo

Goising na daates gamtuang agahartlaqat somaro. Garmasing tababay Hariohay ugaqoiaxsui ador yamokirhotatin........
 
We jamaa acha ukabila wako hata kama wairaq ni wengine sio ticket ya kwenda kule muone
 
Wanabodi amani iwe nanyi na poleni na majukumu ya kutafuta rizki....

Jimbo la Karatu ni jimbo lenye heka heka nyingi sanaa za kisiasa, ni kiini cha mabadiliko katika nchi hii, ni kati ya maeneo yenye historia kwenye medani za kisiasa,, jimbo hili limekuwa chini ya CHADEMA toka mwaka 1995 kipindi hicho mbunge wake akiwa Mh. DR.WILLBROAD PETER SLAA.... nimeamua kujitosa kugombea jimbo la Karatu kupitia chama changu CHADEMA,, sifa zote ninazo, ntafuata taratibu zote ndani ya chama changu ,,nitayasikiliza na kuyahishimu mawazo na maoni ya viongozi wangu wa chama,, umri wangu unaniruhusu,jimbo lile kwa sasa linahitaji kijana ambaye ataweza kuendana na pilika pilika za maendeleo ya haraka kwa jimbo lile,, barabara za mji na stendi ya magari ni changamoto kubwa sanaaa kwa mji wa karatu wenye vyanzo vingi sana vya mapato ikiwemo utalii ambapo Karatu ni center ya hifadhi za NGORONGORO na MANYARA,, mji una hotel nyingi sana kitalii,rasilimali za madini nk....
Maji bado ni changamoto kubwa sana wakati mji wa karatu umezungukwa na rasilimali nyingi sana misitu ambayo ni chanzo kizuri cha maji....

Ndugu zangu wanakaratu mnahitaji kijana atakayeweza kuendana na siasa za speed kubwa kwa maendeleo ya haraka sanaaa...... Kijana wenu kamanda HARIOHAY nahitimu chuo mwaka huu mwezi June,, nakuja kujitosa ili jamii yangu inufaike na elimu yangu na nguvu yangu...

Naomba mnipokee ili tupate maendeleo ya haraka sanaa,, Mimi ni mtoto wenu nimesomea shule yenu ya kata,, sasa naomba muonje matunda ya mtoto wenu ambaye ni zao la shule zenu za kata, nazijua changamoto zilizopo kwenu, maisha yenu nayajua vizuri,, familia yangu ni kimaskini sana, naamini nitawatumikia kwa upendo na unyenyekevu wa hali ya Juu.

Ahsanteni sanaaa Mungu awe kiongozi wetu daima....

Wenu,

Gjhariohay!
So sad that hujaelimika.
 
Hili swali eti "utakisaidiaje chama" naamini ni swali la kitumwa na lina harufu ya kuivunja katiba kwa taathira yake.

Point of reference, msimamo wa chama cha mapinduzi katiba mpya uko kinyume na wenye nchi.

Chama kisiwe juu ya wananchi tafadhali
 
Kawaeleze hao wa Karatu unafikiri humu ni wambulu wenzako
 
Wanabodi amani iwe nanyi na poleni na majukumu ya kutafuta rizki....

Jimbo la Karatu ni jimbo lenye heka heka nyingi sanaa za kisiasa, ni kiini cha mabadiliko katika nchi hii, ni kati ya maeneo yenye historia kwenye medani za kisiasa,, jimbo hili limekuwa chini ya CHADEMA toka mwaka 1995 kipindi hicho mbunge wake akiwa Mh. DR.WILLBROAD PETER SLAA.... nimeamua kujitosa kugombea jimbo la Karatu kupitia chama changu CHADEMA,, sifa zote ninazo, ntafuata taratibu zote ndani ya chama changu ,,nitayasikiliza na kuyahishimu mawazo na maoni ya viongozi wangu wa chama,, umri wangu unaniruhusu,jimbo lile kwa sasa linahitaji kijana ambaye ataweza kuendana na pilika pilika za maendeleo ya haraka kwa jimbo lile,, barabara za mji na stendi ya magari ni changamoto kubwa sanaaa kwa mji wa karatu wenye vyanzo vingi sana vya mapato ikiwemo utalii ambapo Karatu ni center ya hifadhi za NGORONGORO na MANYARA,, mji una hotel nyingi sana kitalii,rasilimali za madini nk....
Maji bado ni changamoto kubwa sana wakati mji wa karatu umezungukwa na rasilimali nyingi sana misitu ambayo ni chanzo kizuri cha maji....

Ndugu zangu wanakaratu mnahitaji kijana atakayeweza kuendana na siasa za speed kubwa kwa maendeleo ya haraka sanaaa...... Kijana wenu kamanda HARIOHAY nahitimu chuo mwaka huu mwezi June,, nakuja kujitosa ili jamii yangu inufaike na elimu yangu na nguvu yangu...

Naomba mnipokee ili tupate maendeleo ya haraka sanaa,, Mimi ni mtoto wenu nimesomea shule yenu ya kata,, sasa naomba muonje matunda ya mtoto wenu ambaye ni zao la shule zenu za kata, nazijua changamoto zilizopo kwenu, maisha yenu nayajua vizuri,, familia yangu ni kimaskini sana, naamini nitawatumikia kwa upendo na unyenyekevu wa hali ya Juu.

Ahsanteni sanaaa Mungu awe kiongozi wetu daima....

Wenu,

Gjhariohay!
Hiyo ni haki yako kikatiba, kama unadhani una sifa gombea bila woga kwani hakuna mwenye hatimiliki naya jimbo lolote. Pambana mpaka kieleweke.
 
Jaman huu uchaguz mwaka huu? Titaona na kusikia mengi, hata matonya angekuwepo angetosa ulingoni.....
 
Je.umekifanyia nn chama?kama wanakaratu wanakuamini watakupa ubunge.ila fuata taratibu za chama usifanye kama lowasa.
 
xayeng aha mas karatu kwaxueeke jimbor ar KILINDI ner HANDENI irqo kar ur kuliko wenyej?has kilindi.s\mitaa slemero irqo

Kilindiro heguxuu a hema? Garma an garna tsahh a garma yams karatu ginxuika
 
Goising na daates gamtuang agahartlaqat somaro. Garmasing tababay Hariohay ugaqoiaxsui ador yamokirhotatin........

Garma amor karaturo loaros gan to qwaremis, amor hatla bingaiar a tsini
 
Back
Top Bottom