28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
- Thread starter
- #621
kama upo serious ni Pm nitakuelekeza bure kabisa, lakini uwe na uhakika wa kuwa na internet yenye speed nzuri kwa masaa 24hrsMkuu Mimi nina Nia Na ndoto ya kufungua Tv Yangu hapo baadaye ila Kwa sasa naitaji kufungua Tv ya online kupitia internet ili nijue ata idea unavyokuwa... Kama unajua/ Kwa yoyote anajua jinsi ya kufungua Tv online bac naomba anijuze kunipa huo msaada. Asante