saa zingine tujaribu kuwa wastaarabu na kuheshimu shida na matatizo ya wengine..kama wewe umeshajaaliwa mshukuru M/Mungu wako na utuache wengine wenye tamanio hilo tuendelee kumuomba yeye huyo huyo aliyekupa wewe....mshukuru sana.