Natamani

wewe mwenyewe umejibania kujieleza... no wonder wankubania...
jiachie eleza shida tukusaidie hata kwa mawazo...
 
wananibania home<kwani muda wa mtu wa kawaida kuanza maisha yake ni kunzia miaka mingapi?
 
wananibania home,eti hawataki niondoke nikaanza maisha yangu sijui wanataka nizeekee hapa hapo,
 
muda wa kuondoka homeni ukiolewa au kufikisha miaka 26 kama unajitegemea,hata mimi ningekuwa mzazi wako ningekubania sababu tu ya kuwa huru haijitoshelezi.

Nimekupa tu like sio sababu of what you have said....lol.. ndio ina logic
But shida yangu i think it is time nipate feedbak ya ile project
nahisi coworker Kloro na wew mnanibania kunipa fidbak na pesa...
 
Hela zilitoka na kwakuwa uliingia mitini Kloro akasema akushikie.
 
wananibania home,eti hawataki niondoke nikaanza maisha yangu sijui wanataka nizeekee hapa hapo,

Du!
Eyetyna, be careful, Nahisi wewe bado ni bikra,springchick na unadai.
Sasa hebu wasikilize wazazi wako hapo nyumbani, ambao wanatoa ushauri kwa vile wanakupenda.
Ukikumbana na mimi mitaani, mate yatanitoka na utaingia laini kwa simulizi ndefu za elfu lela ulela na mali zangu za urisi.
Ukiniamini simulizi zangu umekwisha.
Tunda nitalila, na ukiwa springi kama ulivyo,nitakula tunda mpaka mfupa wa mwisho.
Kwa vile sitaki majukumu, na hapo ndo utakuwa mwisho wa kuonana.
Watu wa aina yangu wako wengi sana bongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom