fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,535
- 8,974
Bongo FM wana mtangazaji mpya,mwenye hilo jina hapo juu.Mimi simjui kabisa lakini ni mtangazaji mzuri sana,natamani kumfahamu zaidi.Mwenye kumfahamu ntafurahi akinipa historia yake.
wala simjui na mara yangu ya kwanza kumsikia akitangaza ni bongofm sasa unasemaje namjua?Nampigia debe vipi? Mimi husikiliza sana redio japo efm ni redio ambayo huwa siisikilizi kabisa.Inaonekana unamfahamu vizuri ndio maana umekuja kumpigia debe