Natamani Niache Kazi

Natamani Niache Kazi

kateli

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
70
Reaction score
28
Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia. Kazi mshahara mduchu, pia sio career yangu. Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu. Kumbe dah! miaka inakatika umri unaenda hela haiseviki ingawa nipo single pia pepo wa madeni ananiandama.

Najiona napoelekea ntakuwa tapeli.

God bless me and all who feel the hardships like I do.
 
Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia.Kazi mshahara mduchu,pia sio career yangu.Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu.Kumbe dah!miaka inakatika umri unaenda hela haiseviki ingawa nipo single pia pepo wa madeni ananiandama.Najiona napoelekea ntakuwa tapeli.God bless me and all who feel the hardships like I do.

pole sana upo sekta gani mkuu,nakushauri chukua mkopo uanze kujihusisha na ujasiliamali maisha kwa sasa ni magumu ukiishi kwa kutegemea mshahara tu utaumia.
 
Mkopo uliniyumbisha nilijaribu na najuta.sikujipanga nilikurupuka.naapply kazi kama kila tangazo ni chache sana nimejibiwa.
 
Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia.Kazi mshahara mduchu,pia sio career yangu.Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu.Kumbe dah!miaka inakatika umri unaenda hela haiseviki ingawa nipo single pia pepo wa madeni ananiandama.Najiona napoelekea ntakuwa tapeli.God bless me and all who feel the hardships like I do.

pole sana rafiki..hayo bwana hata mimi yaliwahi nikuta nikaamua kufanya uamuzi mgumu nikaacha kazi. lakini jaribu kuongea na mwajiri wako umuelezee hali halisi ya maisha jinsi yalivyoshuka(hayajapanda) na kuwa magumu anaweza kukufikiria akajua namna ya kukusaidia!
 
pole mkuu... fuata ushauri wa kumwelekeza boss hali halisi na wa kuchukua mkopo uanze ujasiliamali...
 
Tunapo maliza shule tu na kuingia mtaani , pale ndo tunakutana na hali halisi na shule ya ukweli ya mtaani , kitu ambacho tunakuja kugundua ni kua yale makaratasi yetu darasani hayakua na msaada mkubwa sana zaidi ya kukuandaa kua tegemezi kwenye mifumo rasmi ya ajira ambayo ata kama utafanikiwa kuajiriwa utalemaa na kua tegemezi maishani kwako kote kama hautaamka mapema na kufanya maamuzi magumu au wakati mwingine kama hauta bahatika kupata ajira kwenye iyo mifumo rasmi na kujikuta upo mtaani basi ukifanya mchezo na kujifanya we msomi sana hautaki kijifunza harakati za kitaani zina kwendaje na namna ambavyo ujasilimali unafanyika kiukweli ukiweka mbali principal zako ulizotoka nazo shule basi unaweza kujikuta una dhalilika kiurahisi sana mtaani.....
 
pole xana kaka we share the same experience umenigusa mno...mm nishafanya uamuz nishakopa na naingia ujasiriamali, kaz rasmi hz znabana mno maslah kiduchu na hakyna mabadiliko miaka na miaka, utaishia kuvaa tai tu ukipata shda ua 50000 unadata!.... nasubir mkopo uingie nisepe zangu
 
Nawakaribisha ktk Entrepreneurial Organization yangu Victorious Youth Enterprises Group-VYEG, ila wavivu hawaruhusiwi uwe mchapa kazi...!! (contact me at: victoriouy@yahoo.com)

Weka waziwazi ndio ikoje?Hapa napiga mahesabu ya kuanza kilimo cha matikiti ila sina elimu ya hichi kilimo.Eneo ni kisenvule wilaya ya mkulanga.Hapa kazini upendeleo wa wazi halafu wasio na elimu ndio wameishikilia kampuni.Ila Mungu anisaidie nichomoke mwaka huu.Maana ninapoamka asubuhi nakosa hamu ya kwenda cargo kabisa.
 
Nina advanced diploma in business management majoring in marketing.Help me wadau.Kama kuna vacancies.Am tired with this captivity of negativity life.
 
Baada ya hapo kama na wewe ndo unakua mwajili utampa mshahara mwenzio shingapi? tunapoenda digrii atalipwa laki moja kama utaki tambaaa hahahahaaa
 
Anasema ooh kalenda ya mwaka ukiisha nawaongezea baada ya bajeti kupita.Aongope aone kinachofuata sabotage,wizi na kupublish kwenye media.Cheo kikubwa kampuni jina hilo afu tunaambulia hela ambayo hata boom lilikuwa lina uhafadhari.
 
pole sana rafiki..hayo bwana hata mimi yaliwahi nikuta nikaamua kufanya uamuzi mgumu nikaacha kazi. lakini jaribu kuongea na mwajiri wako umuelezee hali halisi ya maisha jinsi yalivyoshuka(hayajapanda) na kuwa magumu anaweza kukufikiria akajua namna ya kukusaidia!

Kama ni kanjubai, sijui!!!!!!!!!!!!! Ajaribu.
 
Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia. Kazi mshahara mduchu, pia sio career yangu. Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu. Kumbe dah! miaka inakatika umri unaenda hela haiseviki ingawa nipo single pia pepo wa madeni ananiandama.

Najiona napoelekea ntakuwa tapeli.

God bless me and all who feel the hardships like I do.

hheri yako wewe uliepata mshahara na kukesha club kuliko huyu anaetafuta kazi bila mafanikio..
 
kazi yoyote ya kuajiriwa kama haina mianya ya wizi(madili) au rushwa haifai acha mara moja. Mshahara peke yake TZ ni majanga.
 
Back
Top Bottom