Natamani mwigulu nchemba acheze no ya babu seya

Natamani mwigulu nchemba acheze no ya babu seya

Enzymes

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
4,332
Reaction score
3,022
Nimatumainini yangu kuwa hamjambo wana JF wa Joke section!!

Kweli kutokana na matukio ya huyu jamaa yetu, hasa faida na hasara zake hadi leo hii natamani ndg huyu apewe sub(achezee gereza kidogo) ya Babu Seya; nguli wa mziki hapa bongo.

Kwani kila kitu kisicho na faida kwa Taifa ni bora kutelekezwa na chenye faida kutumika kwa niaba ya Taifa letu la amani la Tanzania. Kwan naona ana hasara kubwa sana kwa Taifa zaidi ya faida. Au nyie wadau mnasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom