Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Huwezi amini wanaume wanapenda mabinti wa aina hiyo yaani wale ambao ni wakaliwakali, wakorofi, wasio na maadili. Lakini pia mabinti wa aina hii tena wengi wao ndo huwa waremboooo wenye mvuto. Unakuta mwanaume anatukanwa na binti vibaya sana, lakini utamsikia akiomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa. Mabinti ambao wana maadili na wanyenyekevu wengi wao hawana mvuto na hawapendwi, utakuta mwanaume anamfokea na wala haombi msamaha sana sana utasikia akisema ukitaka nenda kwenu hata sasa, mimi sikutaki unaning'ang'aniaYaani kuna wanaume wanapata Bahati halafu anaipiga teke huko badae unapata binti alietoa mimba zaidi ya tano mwenye mdomo balaa ndani hkukaliki. Ni wanawake wachache sana wenye bikira ukimpata oa fasta
Hahahahah. Mkuu naona Rais2020 kapigwa Ban. Ila mada yake nimeipata hapa.Mmh maskini. Haya Rais2020 njoo huku ujionee yanayokatisha tamaa mabinti wengi
Naomba no yake nimuunganishe na kaka yangu
"Mkataa pema pabaya panamsubiri" .....Usije ukarudi hapa mikono kichwani shauri yako!Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.
Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.
Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.
Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.
Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.
Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.

Si wanamilikiana jumla?Kaka yako ndie mpenda michepuko eeeh !! Hayaaa
Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.
Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.
Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.
Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.
Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.
Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
Si wanamilikiana jumla?
So sad indeed....!!!Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.
Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.
Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.
Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.
Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.
Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
Kizazi cha mwendokasi tehHaya hongera kwa kum kowadia kaka ako! Hata sura ya huyo mwanamke humjui tayari unahisi anamfaa kaka! Kwel hiki kizazi kipya [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbuka huyo aliyemtoa bikra na kumuacha ndo amemfanya kuwa hivi alivo, (kama kweli ana tabia mbaya).Unakosea sana..haimanishi bikra wote ni wake bora, hata wew ulikuwaga bikra lakini kwasasa unajijua ulivyo