Natamani kuwa na pesa lakini sioni njia ya kuzipata

Sijawai Fanya biashara ya kuniingizia hata 1000 kwa siku, natamani sana nifanye biashara lakini sioni njia kabisa naona mbele Giza, nafurahi maana najua kesho haiwezi kua kama Leo.
Na unamika mingpa ujawai. Ata kuuza ata mayai
 
Si peke yako unayekumbwa na mkasa huo,,tupo wengi tu!.Ila hapo kwenda kwa Mganga,,uwe makini kidogo.Kama lengo ni kupata Utajiri kwa Mganga acha kabisa mkuu.Utajuta,mimi yamenikuta,,nashauri acha tu kwa kweli,,labda huko kwa Mganga nenda kwa mambo mengine ila si kwa lengo la kupata Pesa!
Mkuu kilikukuta Nini ...
 
Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..
Uza figo boss

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Vuta subira dogo... Endelea kuomba na kumuamini MUNGU,Siku utaucheka huu wakati ukikumbuka!!!
 
Kakodi shamba Ruvu ni elfu 50 tu eka. Lima mbogamboga utatoboa tu!!!
 
Mkuu usichoke Yesu wetu yupo imara na hajashindwa na hajawahi kushindwa na usiende ibaadani kwa sababu ya kutaka connection nenda kanisani umwabudu na kumwomba hawajahi kunyamaza kamwe.

Acha kumlalamikia huwa hapendi wewe msifu hata Kama ukilala njaa mwimbie mwambie hata Sasa nakuona ulivyo mkuu, imba sifa zake mchana na usiku, wapende maadui zako waombee usiwe na chuki na mtu, hata Kama amekuumiza Sana jifunze kuwa mvumilivu.

Majibu yake huwa akiyatoa yatawaziba watu maskio.

Niambie taaluma yako Nini na una level gani ya elimu ukiona hapa huwezi kutaja njoo pm
mkuu naomba nijuze pm unaingiaje. samahani lakini
 
Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..
Uliyoyasema ni kama vile umeniongelea mimi. Yaani hakuna tofauti mpaka mshaara. Labda kwenye kanisani ndo nimeacha ninatuma tu sadaka maana na penyewe pamegeuka sehemu ya watu kuoneshana uwezo wa kifedha wakati wengine mikono mitupu pampja na michango kushamili.
 
Pesa haitafutwi kwa nguvu, ikifikia muda utaona inakuja yenyewe tu bila wewe kutweta kwa jasho jingi mtaani.

Pia elewa pesa haiendi kwa kila mtu, kuna maadhi ya familia ama koo wenyewe kugusa tu hela waaaa, wengine mzee balaaa.. unakuta ukoo wamesoma ila mwenye mafanikio hata mmoja hakuna.

Ukiona hupati pesa ujue muda wako bado au wewe na pesa mpo tofauti kabisa.
 
Vipi nikatulia na gazeti moja tu la majira nikaachana na daily news, uhuru, nipashe, sani, na mwananchi.?
Wewe mkubwa Sasa.
Mwanamke akikupanulia miguu yake ndio gazeti. Lina kurasa mbili. Wewe ukininihii ndio kusoma gazeti kwenyewe, wengine mnanogewa mpaka mnasoma na ulimi.
Wosia wangu kwako Kama unautaka utajiri, usome gazeti Hilo Hilo la mkeo tu Maisha yako yote. Mafanikio utayaona mpaka yakuchoshe.
Iwekee caps lock hii thread
 
Back
Top Bottom