Natamani kuwa na pesa lakini sioni njia ya kuzipata

Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..
Kama kweli unatamani hivyo na njia hizioni bhasi utakuwa na nyota ya umaskini.
 
Waone Wakinga wakupe miongozo ya kuku kudonoa mahindi kama una ujasiri lakini.
 
Unachotamani kiko ndani yako, unavyofeel ni kwasababu huo uwezo unao, Unachotakiwa kufanya ni kutambua uwezo wako halisi uko katika eneo gani, then tendea kazi.
 
Subra ni kitu muhimu sana na pia acha kujifananisha na wengine

Tafuta Biashara ambayo wengi hawafanyi maeneo ulipo jitese kwa maana Anza Biashara yako kabla wenzako hawajaanza pili funga Biashara yako baada ya wenzako kufunga mwisho kuwa bahili na usicheke na kima hata Kama Ni sh

Acha papara life ni taf kwel ila mafanikio yanahitaji subira

100 Kama n yako hakikisha ipo mfukoni Kama sio yako jitahidi iwe mfukoni kwako
 
Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..
chunga tu usiibe cha mtu
 
Kanisani hamna faraja siku hizi, huko ni michango tu na ili uwe karibu na mtumishi/mchungaji inatakiwa uwe mtoaji mzuri.....
 
250k nyingi sana hasa kama unaishi nyumbani yani hujitegemei
Maisha ni kupanga na kuamua
Mwaka 2011 nilianza kazi mahala mshahara ulikuwa 80,000 nilikuwa nakaa nyumbani
Ila kila mwenzi naweka akiba ya 50,000 natumia 30,000 uzuri kazi yenye nilikuwa naenda kwa miguu
Baada ya kupanga malengo yangu vizuri nikawa naweka 60,000 natumia 20,000 ili malengo yatimie
Baada ya mwaka mshahara ukapanda ukafika 150,000 nikawa bado natumia 20,000
Malengo yalikuwa kufungua biashara fulani
Malengo yakatimia na biashara nikaifungua nikawa naendelea na kazi na biashara biashara nafanya jioni nikirudi kazin asubuh anakaa mtu jioni mimi, huku bado nakaa nyumbani
Maisha yakaendelea kazi na biashara
Nikaweka malengo ya kununua kiwanja yakatimia nikajiambia sitapanga mpaka nijenge
Mwisho wa siku maono hayo yakatimi
MUNGU NI MKUU SANA UKIMTEGEMEA NA KUMUOMBA KILA LEO
Ukijiwekea malengo kwa kipato hichohicho utafanikiwa
Na kuishi kulingana na kipato chako
Mimi hata nywele nilikuwa siweki dawa Tsh.50 naiheshimu yani nafanya mambo ambayo ni muhimu tu.
MAISHA NI KUCHAGUA UISHI VIPI NA HAKUNA URAISI KWENYE MAISHA NA HAKUNA MAFANIKIO YA HARAKA HARAKA
MUNGU NDIO KILA KITU HUKO KWA MGANGA HAKUTAKUSAIDIA
USITHUBUTU KWENDA UTAPOTEA NA KUPOTEZA DIRA RUDI KWA MUNGU MLINGANE BWANA MUOMBE KWA BIDII
ATAKUSIKIA
Big up sana ,Mume wako amepata bongo la mke
 
Mkuu , Angalia chochote chenye fursa na ukifanyie kazi ....Ongeza displine ya fedha ,...usitumie tumie Kwa vitu ambavyo ni unnecessary ...
Achana na anasa ,Tafuta mwanamke mmoja mwenye hofu ya Mungu settle naye ... mafanikio utayaona
 
Si peke yako unayekumbwa na mkasa huo,,tupo wengi tu!.Ila hapo kwenda kwa Mganga,,uwe makini kidogo.Kama lengo ni kupata Utajiri kwa Mganga acha kabisa mkuu.Utajuta,mimi yamenikuta,,nashauri acha tu kwa kweli,,labda huko kwa Mganga nenda kwa mambo mengine ila si kwa lengo la kupata Pesa!
Eleza tu mkasa ukikupta uko ili watu tujifunze na kuwaepuka hao jama
 
Back
Top Bottom