Natamani kuwa na pesa lakini sioni njia ya kuzipata

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,130
21,268
Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..
 
Nenda Mbeya vile vijiji mpaka na nchi ya Malawi.

Kuna utajiri kule wa kumrushia jogoo mahindi then anakula, HAPO MAHELA YATAANZA KUSHUKA.

#YNWA
 
Kupitia hiyo network uliotengeneza angalia Ni watu wanataka Nini kwa maana Ni watu ambao utawauzia Nini?

Mfano sisi tunaoishi chumba kimoja alafu tupo wapangaji 5 - 10 fanya hvi chukua mchele 50kg, mafuta 20lt Yale ya 1lt au 500ml pia dagaa wa Mwanza wale wakukaangwa Anza kuuzia majirani uliopanga nao, pili nyumba za jirani ambao una mahusiano mazuri tatu hyo network ulionayo.

Au

Tafuta Biashara ambayo wengi hawafanyi maeneo ulipo jitese kwa maana Anza Biashara yako kabla wenzako hawajaanza pili funga Biashara yako baada ya wenzako kufunga mwisho kuwa bahili na usicheke na kima hata Kama Ni sh 100 Kama n yako hakikisha ipo mfukoni Kama sio yako jitahidi iwe mfukoni kwako.
 
Bora hata wewe unayo hyo 250k per month.

Wengine hatujui hata kesho yetu itakuaje mkuu.

Kaa tulia buni mbinu kutokabkatika mshahara wako ili uweze kuongeza kipato.

Subra ni kitu muhimu sana na pia acha kujifananisha na wengine.
 
Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..
Mkuu usichoke Yesu wetu yupo imara na hajashindwa na hajawahi kushindwa na usiende ibaadani kwa sababu ya kutaka connection nenda kanisani umwabudu na kumwomba hawajahi kunyamaza kamwe.

Acha kumlalamikia huwa hapendi wewe msifu hata Kama ukilala njaa mwimbie mwambie hata Sasa nakuona ulivyo mkuu, imba sifa zake mchana na usiku, wapende maadui zako waombee usiwe na chuki na mtu, hata Kama amekuumiza Sana jifunze kuwa mvumilivu.

Majibu yake huwa akiyatoa yatawaziba watu maskio.

Niambie taaluma yako Nini na una level gani ya elimu ukiona hapa huwezi kutaja njoo pm
 
Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..

250k nyingi sana hasa kama unaishi nyumbani yani hujitegemei
Maisha ni kupanga na kuamua
Mwaka 2011 nilianza kazi mahala mshahara ulikuwa 80,000 nilikuwa nakaa nyumbani
Ila kila mwenzi naweka akiba ya 50,000 natumia 30,000 uzuri kazi yenye nilikuwa naenda kwa miguu
Baada ya kupanga malengo yangu vizuri nikawa naweka 60,000 natumia 20,000 ili malengo yatimie
Baada ya mwaka mshahara ukapanda ukafika 150,000 nikawa bado natumia 20,000
Malengo yalikuwa kufungua biashara fulani
Malengo yakatimia na biashara nikaifungua nikawa naendelea na kazi na biashara biashara nafanya jioni nikirudi kazin asubuh anakaa mtu jioni mimi, huku bado nakaa nyumbani
Maisha yakaendelea kazi na biashara
Nikaweka malengo ya kununua kiwanja yakatimia nikajiambia sitapanga mpaka nijenge
Mwisho wa siku maono hayo yakatimi
MUNGU NI MKUU SANA UKIMTEGEMEA NA KUMUOMBA KILA LEO
Ukijiwekea malengo kwa kipato hichohicho utafanikiwa
Na kuishi kulingana na kipato chako
Mimi hata nywele nilikuwa siweki dawa Tsh.50 naiheshimu yani nafanya mambo ambayo ni muhimu tu.
MAISHA NI KUCHAGUA UISHI VIPI NA HAKUNA URAISI KWENYE MAISHA NA HAKUNA MAFANIKIO YA HARAKA HARAKA
MUNGU NDIO KILA KITU HUKO KWA MGANGA HAKUTAKUSAIDIA
USITHUBUTU KWENDA UTAPOTEA NA KUPOTEZA DIRA RUDI KWA MUNGU MLINGANE BWANA MUOMBE KWA BIDII
ATAKUSIKIA
 
Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..
Huko kwa mganga napo wenge tu utaharibu zaidi,jiulize kama 90% ya watu uenda kwa waganga na still bado ni masikini msaada upo wapi.
Kanisani siku hizi napo huna pesa usali huwezi kaa kwenye kiti au bench hali wote wanainuliwa kwenda kutoa sadaka kwa zamu.Nikiwa sina sadaka huwa siendi church bora nijifungie chumbani nisali huu utaratibu wa kusimamisha watu kwenye viti kwenda kutoa sadaka kama tupo kwenye foleni ya kwenda kula kwenye sherehe hadi uuinuliwe hakika unawafanya wengi waogope kwenda kanisani.
Kanisani kwetu eti hawataki sarafu wanataka noti kuanzia elf moja eti sarafu benk hazipokei hapa nimehisi ni kuongeza wingi wa sadaka tu ndo lengo na sio benk ya mkombozi eti haipokei sarafu.
 
Si peke yako unayekumbwa na mkasa huo,,tupo wengi tu!.Ila hapo kwenda kwa Mganga,,uwe makini kidogo.Kama lengo ni kupata Utajiri kwa Mganga acha kabisa mkuu.Utajuta,mimi yamenikuta,,nashauri acha tu kwa kweli,,labda huko kwa Mganga nenda kwa mambo mengine ila si kwa lengo la kupata Pesa!
 
Nenda Mbeya vile vijiji mpaka na nchi ya Malawi.

Kuna utajiri kule wa kumrushia jogoo mahindi then anakula, HAPO MAHELA YATAANZA KUSHUKA.

#YNWA
Noma Sana utajiri wa masharti aisee, idadi ya punje ndio idadi ya miaka utakayoishi duniani then unachukuliwa kuzimu kumtumikia shetani hadi mda wako uliopangwa na Mungu duniani ufike ndipo unakufa kifo cha pili.
Kuna aina 2 za kifo
1.Kufa na kuendelea kuishi duniani ila unakuwa umefichwa uonekani kibinadamu kufichwa msukule duniani au kuzimu kama mtendakazi yaani mtumwa wa mchawi au shetani mwenyewe tegemeana nani kakuhitaji.
Lakini Mungu anakuona ulipo.
2.Kufa na kutoweka kabisa duniani, kulingana na mda aliokupangia Mungu kama ni miaka 40 80 100 hadi itimie unakufa lakini hauendelei kuwepo duniani
 
Habari wakuu.

Hivi ni namna gani hasa mtu anaweza kutengeneza hela, kazi hizi mishahara midogo, 250k kwa mwezi hela ndogo sana hapa mjini, unajibana mpaka hupumui, nashindwa hata kuangalia mpira kibanda umizi. Nimekuja kujua solution ni kutafuta pesa sio kujibana matumizi, mwisho nitakufa bure ..

Nimejitahidi kutengeneza connection na network na watu kupata michongo lakini mambo magumu ...

Piga harakati hapa na palee lakini hela haionekani...

Beti sanaa labda nitapa hela, naishia vipigoo vya hatari mpaka naihisi nimerogwa..

Naenda kanisani sana, kwani ilifika mahali mama akasema nisali sana lakini huku kanisani nako kila mtu yupo busy, hakuna ujamaa tena kama zamani, watu wakitoka nje tuu wanaingia kwenye magari yao na familia zao haooo..

Hakuna tena kualikana nyumbani, kuongea na kubadilishana mawazo kama zamani, hata kanisani watu wanaishi kibandinduu...

Aisee nawaza kwenda kwa mganga saizi, labda nyota yangu imefifia...

Wakuu mnaonaje..
Mkuu maisha siyo kuwa na mipesa mingi wala kujinyima sana ishi maisha yako furahi pale unapopata maisha ya duniani yamejaa ubatili mwingi so don't stress about it
 
Back
Top Bottom