Yani ukitaka maisha yawe shubiri, kutana na bosi mwanamke, hana mume alafu anajifanya mlokole kwenye hayo mambo. Ni kisirani fulu kuanzia asubuh had jioni. Lakini akute mutu wa kumsugua... kazini mtaishi kwa amani.Una akili, na mie nimemshauri atafute marijuana ya chini.
sijihukumu mkuu mi najipenda kuliko chochote nataka tu kujiongezea furaha kama wenzangubaki kama ulivyo hapo tu hutumii kilevi chochote lakini unajihukumu nakujuta je ukianza kutumia hayo maupuuzi si ndio yatakuongoza kuinyofoa roho yako mwenyewe na ukaona unafanya uamuzi sahihi? Smile gani hilo au labandia? Jiamin jipende na ujiheshimu halikadhalika vivyo hivyo wafanyie wanaokuzunguka mbona utaona we ndo unatakiwa uishi hadi mwisho wa duni[tahadhari dharau kila baya unalotendewa chukulia kama ni zuri kwako maana sidhani kama kuna baya zaidi kama mtu anataka kukudhulumu uhai wako] usiku mwema
mi mtu peace sana mbona tuko njoo uone....service with a smile....yani ukitaka maisha yawe shubiri, kutana na bosi mwanamke, hana mume alafu anajifanya mlokole kwenye hayo mambo. Ni kisirani fulu kuanzia asubuh had jioni. Lakini akute mutu wa kumsugua... Kazini mtaishi kwa amani.
Hapo Mungu alimaanisha usichiti...eheheeee amri ya mungu inasema usizini kumbuka
Hahahaa... Siku hizi nikienda ofisini nikahudumiwa na mwanamke (age 27+), nikitoka hapo najua huyu mtu alilala mwenyewe au na jogoo...mi mtu peace sana mbona tuko njoo uone....service with a smile....
Haumpi, mnapeana... Tena yeye ndiye anaacha substances kwako...kugegedwa nimpe mtu mwili wangu hivi hivi tu dah kazi aisee ....
nitabalance mkuu vipi unatumia?
But nature is nature... Hata ukiigiza, kwa wazoefu kama mimi nitajiaemea tu, dah.. huyu dada abarikiwe maana japo amenihudumia kwa bashasha zote, ni kwa sababu tu mi ni mteja...mimi wateja kwangu ni wafalme kwa kweli no matter what
Eti nini?
Bangi nibangue.
umbea tu.