life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Ntafutie na mimi.....
Woow umenichekesha hadi mbbavu zimevunjikaa
Ntafutie na mimi.....
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!

Naungana na wewe dia
Wenzako waliotangulia huko kwa wazungu kuna waliokutana na vibamia, kutwa wanashinda kutafuta mipingo yetu, huko wako kwa status tu.
Mwanaume ni mwanaume .mie mke wa mzungu ila mzungu ana kupenda haswa utapeli wa mwanamke wa kiafrika utaishia Kwenye kuuliwa.No jokes no drama yes means yes akikushtukia unamalizwa and you will never recover.Uko kutulia umapepe atakuangaliaaaa atakumwaga Ghafla.Valentine day Christmas ndio wanamwacha Mtu .Lazima umpende Mtu Kuwa nae,wazungu wana save Pesa ,mwanaume wa kiafrika uwii kabidhi mshahara kwa mwanamke ,mzungu hakupi cash unataka Kitu atakuambia get in the car twende atakupa.Lakini awe mchina mzungu mhaiti Lazima upende kwanza wazungu .Halafu siri moja uwe very wild mwanangu sio mwanaume wa kiafrika zima taa jifunika shuka nomaaaaJamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!
Tigo ikiwa legelege watakuacha.
Ulishawai jiuliza kwanini black america mara nyingi huwa wanaoana wao kwa wao?
ngoja aje Natalia hapa,yeye si ameolewa na mtasha..
Halafu KakaJambazi na security mnataka kusema Natalia huwa anatoaga 0713!!