Natamani kuolewa na mzungu

Natamani kuolewa na mzungu

Hahahaha. Yaani mange kimambi katuharibia watoto wetu mie sina hamu!
Hang around their locations mama. Una kamtaji kakuanzia? Wenzio wanaenda gym colosseum hotel 500$ per month. Kuwinda kunataka kapumzi kiduchu.
 
.......
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    26 KB · Views: 110
Hahahaha. Yaani mange kimambi katuharibia watoto wetu mie sina hamu!
Hang around their locations mama. Una kamtaji kakuanzia? Wenzio wanaenda gym colosseum hotel 500$ per month. Kuwinda kunataka kapumzi kiduchu.
Unaonekana mbinu unazijua..
tena hayo mawindo ni sawa na kucheza kamari, unaweza pia ambulia patupu na umeshapoteza pesa za chambo zote
 
mkuu,inaonekana una uzoefu sana na wanaume wa kiafrika,inawezekana umepitiwa na wengi sana,jiulize why hukupata perfect match,may b wewe ndo probleemaa!,tafakari,chukua hatua
 
Kama unatafuta mzungu sababu umechoka kutapeliwa basi unaweza kua disapointed maana matapeli ni kote kote. Just like kua faithful sio exclusivity ya wazungu kua unfaithful sio exclusivity ya watu weusi.
Maybe unawaona weusi matapeli sababu unaishi nao wengi na umejoonea baadhi yao wakitapeli. Ukiishi na wazungu na ukawachunguza utajionea pia. Na mbona hujataja mhindi au mchina? Wenyewe nao matapeli?
Kama unataka mzungu sababu unahisi kuvutiwa na wazungu (kwa maana ya kwamba kua mzungu tu tayari amesha fanya nusu ya safari) basi try to hang out where most of them do hapo I
Unapo ishi.
Ikibidi nenda specialised sites kama meetics na zingine, make it clear unataka mzungu.
Good luck

Mapenzi ya kwenye movies na series za Wazungu ndio zinawaharibu.
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!
Kwenye nyekundu ni PM
 
Hahaha. Ndo maana nasema inataka pumzi baba. Unaweza kumpata mzungu kumbe ndo kimeoo na wewe unaishia kumtunza mjini. Bora zimwi likujualo aisee. I aint giving up on black brothers. I love like i have never been hurt!
Unaonekana mbinu unazijua..
tena hayo mawindo ni sawa na kucheza kamari, unaweza pia ambulia patupu na umeshapoteza pesa za chambo zote
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!

Kweli uyasemayo....................ila mapenzi ya wazungu nayo hayana guarantee sana, vile yapo contractwise, namkumbuka mcheza tennis maarufu wa marekani, dada mmoja mweusi naye anaitwa SERENA WILLIAMS nae kipindi fulani aliwahi kulalamika sana juu ya utapeli wa mapenzi unaofanywa na wanaume weusi...........anasema at least wazungu si matapeli sana kulinganisha na waafrica!!!!!!!
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!

Hivyo hapa una tafuta mchumba wa kizungu ?
 
Mie personally I cannot even stand the thought of intercourse with a white man. I want black. As black as can be. uwiiii.
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!

Hata huyo mzungu atakuta mashavu yashelegea. Inaonekana ushapitiwa na wengi.Lazima akubwage baada ya kukugegeda.
 
Wazungu ni cold kudoo Lazima muanze maandalizi asubuhi hadi jioni ndo mashine inasimama wkt kitu mandingo always kiko kidumu chama cha mapinduzi
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!
nakutakia heri Bi.BreeVen,
chukuwa usia huu bure!!,
Nilikuwa na jirani yangu mtu wa bara letu(demu) huko kwa hao wazungu ulaya. Nasikitika kusema haya alikuwa akija kunilalamikia yasiyo na utu kuwa hawara lake baada ya kumchoka alikuwa akimkaribisha mbwa wake (dog) ampande
na ku-do. wakati huohuo akimpiga picha za aibu na kuziuza picha ili awezekuendesha maisha na kujikimu. hiyo ilinifanye nihamie mbali na hapo. Sasa Bi mzuri wewe na bahati yako utaweza kupata wazuri na wapo wengi wametuliya na wapo
wengi masilahi na wengi wasiyo na utu. uaamuzi wamwishi ni wako. Nakutakia heri hukom mbele.
 
Nipe wasifu wako yani ukoje ukoje,mnene mwembamba?af una shuguli gani ikuwekayo mjini?mwanafunz au mfanyakaz na km mfanyakaz kipato chako kikoje?au tamthiliya ndo zinakudanganya kua wazungu ndo c wababaishaji?naomba nkukumbushe kua wale pale wanaigiza hata hawayaish yale wanayoyaigiza.....ivo fikiria mara mbili
Hata wabongo wapo watu fresh tu tena sana labda ubadilishe namna unavyowapata hyo inaweza kukusaidia sawa ehh
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!
Kwani wewe mwenyewe ni mzungu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom