Natamani kuolewa na mzungu

Natamani kuolewa na mzungu

Mwanaume ni mwanaume .mie mke wa mzungu ila mzungu ana kupenda haswa utapeli wa mwanamke wa kiafrika utaishia Kwenye kuuliwa.No jokes no drama yes means yes akikushtukia unamalizwa and you will never recover.Uko kutulia umapepe atakuangaliaaaa atakumwaga Ghafla.Valentine day Christmas ndio wanamwacha Mtu .Lazima umpende Mtu Kuwa nae,wazungu wana save Pesa ,mwanaume wa kiafrika uwii kabidhi mshahara kwa mwanamke ,mzungu hakupi cash unataka Kitu atakuambia get in the car twende atakupa.Lakini awe mchina mzungu mhaiti Lazima upende kwanza wazungu .Halafu siri moja uwe very wild mwanangu sio mwanaume wa kiafrika zima taa jifunika shuka nomaaaa

pamoja sana dada...
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!
Sema unatamani kuliwa KAABANG!
 
Siku hizi tabia wote sawa. Utamaduni wa mtu mweusi ume dominate kila mahala ndio maana Clinton aka Lewinsky!

Usishangae ukapata mzungu anatabia za Flava Flav hehe
 
Mydear nafanya kazi kwenye engoes moja ya wajeruman na wataliano..,,2be honest they r verry caring n they treats woman so sweet n kindly,,4them woman r their first priority thing..,,but talking inlove(sex relation) sikushauri watakusodoma wether u agree with me or not,,...kua 2 mvumilivu i believe there is a man out there waiting 4u,,...!!
 
ooooh God!!
 
Mwanaume ni mwanaume .mie mke wa mzungu ila mzungu ana kupenda haswa utapeli wa mwanamke wa kiafrika utaishia Kwenye kuuliwa.No jokes no drama yes means yes akikushtukia unamalizwa and you will never recover.Uko kutulia umapepe atakuangaliaaaa atakumwaga Ghafla.Valentine day Christmas ndio wanamwacha Mtu .Lazima umpende Mtu Kuwa nae,wazungu wana save Pesa ,mwanaume wa kiafrika uwii kabidhi mshahara kwa mwanamke ,mzungu hakupi cash unataka Kitu atakuambia get in the car twende atakupa.Lakini awe mchina mzungu mhaiti Lazima upende kwanza wazungu .Halafu siri moja uwe very wild mwanangu sio mwanaume wa kiafrika zima taa jifunika shuka nomaaaa
Nimeandika kila kitu, asante kwa ushauri.
Hapo in bold ndio kama vya kabaang au?
 
umeanza kuwa na akili ujue!
hii namchaji EMT kwa kweli!
yu were too way naiiiive lady boss!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
umeanza kuwa na akili ujue!
hii namchaji EMT kwa kweli!
yu were too way naiiiive lady boss!
hahahahaha, nyie ni wachokozi sana, mi sitaki kuendelea kuonekana nanyi.
Ndio maana mtakufa bila mafanikio ya kuolewa na Mudhungu. Mi simooooo
Na nikipata kibabu changu usije kuniomba sim za rafiki zake nitakunyima!
 
kaa karibu na waridi unukie mama!oh!
 
ahahahhahahhahaaa huku hakuna mambo ujue!
kamatia kule kwa hawa mahard looking hawa ndo kuna maujanja na marufundi ya jfuni!
oh!
BTW kuna kakipengele kwenye mkataba kanakupa law of attorney kukupa tuhints!
hawa hard looking mmi siwataki. nataka mdhungu wa mapesa na ma placements.
 
Hivi hao wazungu mnajua wanachokipenda kwenu lakini??
mtajijua wenyewe mimi simo kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom