Natamani kuolewa na mzungu

Natamani kuolewa na mzungu

This thread (reason of..) promotes racism and is offending people of color. Think by your brain. I believe you have no data to back up your unintelligent speculation.
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!

Everything begins with you!stop shifting blames,
 
njoo mimi half cast ..au stafika viwango ...namba yangu ni le inaanza na zero na mwisho pia ni zero
 
Wakati mwingine kile unachokikimbia huweza kukutana nacho unakodhani ni salama
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!

Kushinda colosseum hotel utaweza wewe? beach za ukweli kgamboni na bmoyo? manake lazima ujue anga zao, usitegemee kumpata mzungu kwenye bar ya "zote tamu" tandale. Ila go west, go south siku zote chako ndio the best. I believe there are faithful men out there....one day ambayo Mungu haina jina tutawapata na watatupatia mapenzi ya kweli. Mzungu nasikia kuna hadi shift ya kumridhisha mbwa kimapenzi....mdada pima ndio uamue, tena akikuona uko desperate ndio kabisaaa atakutesa ki-psychology hadi ujute na makaratasi useme bhhaaaasi
 
Here I come .well mume wangu nampa chachandu zote .From Tantric sex to train runner to my chain butt.Nammeza na kumliza vibaya mnooo. Nishabarikiwa kanisani ruksa kutoka kwa mwenyezi mungu .After 10 glasses of vodka and berry juice.Na marijuana juuu.chezeaaaaa.lazima achechemee akienda kazini

Am impressed
 
nakuunga mkono japo kuwa wazungu wana discriminate badly..pray 2get da1 hu wl b so mch in lv wd u....ol da bexty
 
Tatizo dada yetu anataka safari ya kwenda kubeba box Ulaya wala si jingine,,,il nakuomba usikariri ukamuona Mzungu ukajua wote ni Ulaya wengine wapo ZIMBABWE ndo nyumbani kwao.
 
Usijifanye umechoshwa na uswahili bali unadhani ukimpata mzungu maisha yako yatakuwa mazuri kama ya mwenzio flani hivi. Ila kuwa makini usidhani kila mzungu ni padri unakimbilia kuungama.
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!

Kwani umeshawapa wangapi hiyo kitu???? sisi wengine bado unachoka mara moja tu namna hiyo
 
Watu wote weusi si waongo na wabaishaji.hata wanawake wa tabia kama hizi.hata hao wazungu wa tabia kama hizi. mungu hakuumba binadamu kwa tofauti kama unavofikiri..hizi tabia za uongo.unafiki majungu.dharau.majivuno na vinginevyo hata wazungu wanavyo. kama una tabia tofauti na wanaume wa kiafrika.naamini huwezi kupata mwanaume duniani mwenye tabia inayofanana na yako.ila nafahamu watu wanategemen. kuna msemo wa hao watu weupe usemao you never stand alone..na usituhukumu wanaume wote wa kiafrika kama wote tumesha kukosea. unapotafuta mwanaume wa kukuoa usiwe peke yako ni lazima uwe na mungu karibu yako sama.
 
Nao wana matatizo yao, wanatumia mitandao yote. Whether you like or not.
 
hivi kwa nini hizi topic za kumtaka mzungu zikiwekwa hapa,zinwagusa saaana watu watalipuka kama nin??embu niambieni sababu ni nini?
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!

madhara ya kuangalia porn. Unataka kuingiwa chumvini si bure ww!
 
nahisi umekosea kufikisha suala hili JF, koama unataka hao ingia kwenye mitandao mingine lakini ukubaliane na yote utakayoyakuta.
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!

Nitoke vipi!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!
kama wewe ni mweusi basi unazo hizo tabia maana kwa ulichomaanisha ni kwamba rangi nyeusi si ya uaminifu na whatever..things you have included there...!!! nakusahuri cheki show ya Jerry Springer then uone hao wazungu wanvyofanyiana..by the way upo Bongo au mbele..kama bongo expect vibabu wa kizungu..or something of the like coz kwa mbele kuna racism..over..!!! swali la kizushi je wewe ni mwaminifu au sio mnafiki kwa kiasi kipi? maana kuran inasema mzinifu ataoa mzinifu...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom