uwiiiiiiiiii nimekumiss mamito Roulette, upo wangu??Kama unatafuta mzungu sababu umechoka kutapeliwa basi unaweza kua disapointed maana matapeli ni kote kote. Just like kua faithful sio exclusivity ya wazungu kua unfaithful sio exclusivity ya watu weusi.
Maybe unawaona weusi matapeli sababu unaishi nao wengi na umejoonea baadhi yao wakitapeli. Ukiishi na wazungu na ukawachunguza utajionea pia. Na mbona hujataja mhindi au mchina? Wenyewe nao matapeli?
Kama unataka mzungu sababu unahisi kuvutiwa na wazungu (kwa maana ya kwamba kua mzungu tu tayari amesha fanya nusu ya safari) basi try to hang out where most of them do hapo I
Unapo ishi.
Ikibidi nenda specialised sites kama meetics na zingine, make it clear unataka mzungu.
Good luck
mi niko bomba mbaya!sijui hata nina furaha ya nini leo!
yani sooo happy af sijui kwanini!
kaolewe kwanza uje useme hapa hapa jamvini
sijui utasema au utajikausha hivyo hivyo.
he he he he he,
Nilikua naona uvivu nikataka kulog out, ghafla nimeona hii thread. snowhite, Mrembo by Nature, Heaven on earth Maundumula Smile, Kaizer na wengine mpo? Mi nipo hapa lunch break yote.
he he he he he,
Nilikua naona uvivu nikataka kulog out, ghafla nimeona hii thread. snowhite, Mrembo by Nature, Heaven on earth Maundumula Smile, Kaizer na wengine mpo? Mi nipo hapa lunch break yote.
Mydear nafanya kazi kwenye engoes moja ya wajeruman na wataliano..,,2be honest they r verry caring n they treats woman so sweet n kindly,,4them woman r their first priority thing..,,but talking inlove(sex relation) sikushauri watakusodoma wether u agree with me or not,,...kua 2 mvumilivu i believe there is a man out there waiting 4u,,...!!
Jamani nahisi nimechoka na hawa wa2 weusi, baadhi ya waafrica 2mezidi jamani kutapeliana kimapenzi, angalau wenze2 wazungu ubabaishaji si sana.. nahisi nikikosa kuolewa na mzungu nitakaa single tu.. labda atokee mwafrica mwenye uzungu qualifications nimechoka na unafiki wa wa2 weusiiii.. hata mi ni mweusi japo kua lakin sina mambo hayooo.. am tired!!!