wanaume na nyie mnajifikiria sana. si uoe tu mambo mengine yatajulikana huko huko. wewe unatamani fanya maamuzi sasa. ngoja hiyo tamaa yako iyeyuke na huyo binti unaetaka kumchunguza miaka mia utajikuta wampoteza.
Wamefanyaje tena hao hebu tema biggee tuwachape maana wanaharibu konsentration ya watu wakati wanakula raha zao
Mimi niko 35yrs na wala sifikirii
Hahaaha....wanaune hua tunawaza sana maana ndo tunabeba majukum yote...ayo majukum sawa ni maneno tu..
siku hizi mambo kusaidiana, halafu maswala kama haya muhimu kumshirikisha mwenza wako ajue mapema uko tayari kutangaza nia lini. we endelea kuchunguza kimya kimya, mdada akiona muda unaenda hugusii ndoa huyo anachapa lapa. watu wenyewe siku hizi tuna njia kuu na michepuko. usiseme hujaonywa.
Kama ni zaman basi iyo tabia iliitwa umachinoo...mtu anajifanya mr logics....wasalimie kishmundu ukooo
Hahaha...kaz kwel kwel..ila kama she z meant to stay ataendelea kunvumilia coz ntampenda ile ileee...tehe
big g yangu haijaisha utamu. sitemi ng'o. vipi uko poa lakini? unaninyima nini pande hizo?
nashangaa!! watu tunaface challenges tofauti tofauti katika maisha. wewe unaonaje jambo la mwenzio sio la kuomba ushauri!!! tabia mbaya tu.