Natamani???!!!!
Kuoa ni uamuzi sio kutamani
Bas kwa uelewa wangu hua najielewesha kua ukishataman ndo unafanya uamuzi...kwa mfano umemtamani msichana mzuri alaf badae unafanya maamuz ya kuanza kumpigia misele....stand to b corrected mkuu....
Bas kwa uelewa wangu hua najielewesha kua ukishataman ndo unafanya uamuzi...kwa mfano umemtamani msichana mzuri alaf badae unafanya maamuz ya kuanza kumpigia misele....stand to b corrected mkuu....
Tehe tehe..iyo nayo kaz mkuu
Nakula kwa mama ako
Mfamaji na mwenye tamaa. Tangu mgogoro wa RA umeanza kaona wapi chama Chake kikamkemea RA. Kama RA ni mchafu na anakumbatiwa na chama basi na afanye kama alivyosema kuwa ana Profession yake na aache siasa au na ahame kama alivyosema Dr Slaa.
Hii siasa ya kupakana matope aliyoipigia kelele ndio anaifanya yeye. Kagombana na RA sasa anawaingiza kina Manji na Viongozi wengine. Akisema viongozi kwetu sisi si wengine bali ni makada wa CCM. Sasa chama kilichofikia hali hiyo ya kutembeza mabakuli kwa kina Manji na bado unakingangania tu. Kweli invunja moyo na inatufunuwa macho sisi wavimba macho. Watu wanataka uongozi kuendeleza mapambano ya kibiashara na mtu anapokabiliwa basi huwa tayari kutoleana siri.
Mkuu OLESAIDIMU nishamueleza sana na wala sio kidogo kuwa ndoa sio ya kutamani ila ndoa umedhamiria na unajua unafanya nini na kwa nini unaingia kwenye ndoa na sio shinikizo au sijui unatafuta mtu wa kukupikia na kukufulia
I gat your point mku....
usijipe presha bure muda ukifika na ukipata mtu sahihi ndia itakuja automatically,ila ni vizuri kujiwekea malengo pia
unatamani kuoa au unahitaji???
usiforce mambo mimi nachojua ukikaa na mtu hilo swala linatokea naturally
mambo ya kutamani ni kama mtoto,nyumba,gari,chakula,
sasa wewe kwa kuwa interest na mtu haimaanishi ndo umuoe ingekuwa hivyo hata watoto wa form two wangeoa maana na wenyewe wanapendanaga
lifanye hitaji then mshirikishe mungu,lakini jitengenezee tabia ya kukinga tamaa zako,
jaribu kujiandaa kabla hilo swala halijatokea naturally
kwa maelezo zaidi nenda love conect