Zamaulid na badiebey mna maana magombe junior anatafuta kijanja hapa au imekuwaje sijawapata vyema
Mkuu wala sio kwamba hisia zitaisha ila jiulize swali moja kuu unaoa kwa sababu gani au una hizo hisia za kutaka kuoa kwa sababu gani
Kwa kuwa umemuona fulani kaoa au kwa kuwa unahitaji sex ya haraka haraka au kwa kuwa unahitaji kujiondoa upweke unaokukabili au unataka mtu wa kukufulia na kukupikia
Ukishajijibu swali moja kuu kwa nini una hisia za kutaka kuoa then hapo utaweza kufanya maamuzi ila kama huna jibu basi endelea kula raha

badiebey ndo maana nimemuuliza yuko tayari kuoa au kuna force inamfanya afikirie hivyohahha,mi namtania bana...wimbo akisikiliza lakn utamsaidia kutafakari ,kuoa ni jambo jema but ajipange
magombe junior hiyo sababu ya pili kama hizo hisia ndiko zinakokupeleka sidhani kama dhima nzima ya ndoa unaielewa
Ndoa sio kupika , kufua, kukutoa upweke na sex kuna mengi zaidi ya hayo na hizo ni ziada za ndoa
Hisia zako zinakupeleka kwa kuwa unahitaji kw akuwa unajiona mpweke unalala peke yako huna wa kukupikia na the so called
Hata huyo mama anayeuliza ni lini aytamuona mka mwana wake inahitaji uwe na utayari wa kufanya hivyo na sio shinikizo kutoka nje au kutoka kwa wazazi au kutokana na kukosekana kwa kitu fulani
Kuwa tayari kujua ndoa ni nini na kwa nini naoa
Kwa maana unaweza kuoa ukaishia kujikuta mkeo hajui kupika mkaishia kwenda kutafuta mfanyakazi wa kupika je lengo lako la kumpata mke wa kukupikia na kukufulia limefanikiwa au umeongeza tuu gharama nyingine
Mimi niko 35yrs na wala sifikirii
na bado unakula kwa mama.