makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
Oi, huwezi kukosa mdogo wangu... kuna watu vijijini huko hiyo kula ya mara 3 na visempele vya buku ni maisha wanayoota daily..
Unakuta binti mrembo anapiga kibarua cha buku 5 kwa siku, na kibaya zaidi hiyo buku 5 sio daily. ..
Tembea ujionee haya maisha yalivyo kama pepa ya physics