Anadhani mkono mtupu unalambwa!tatizo pesaaaaaa
Hahahaha! Sidhani kama kunaushauri wa maana atapata.ngoja tuone wavulana wanavoshauriana hapa.
Jifunze kuandika kama msomi basi.Sizani kama itakua suluhisho

mwache ajichanganye na vinuka mkojo vya chuo.....bora umwambie mkuu.
Hata akibaki kama uzi poa tu. Maana amejisababishia mwenyeweUnataka mwenzio abakie kama penseli?
ha ha hahhaaKuna jamaa etu alinyonywa Guest alilia mpaka akahaza watu,,,
Akaahidi harudi tena kipande hii
Ale wapi anaonekana mzembe sana huyu kijanaMzigo umekula kwanza.tuanze na hili
utoto mtupu ..Habari za wakati huu wanaJF,
Naomba niende moja kwa moja, Nimekua kwenye mahusiano na binti mmoja kwa mda wa mwaka 1 na 1/2 sasa.
Nimekumbana na yafuatayo:-
-Sikujua hapendi utani, nikamtania alinichoma kalamu na kwa kua nampenda nikavumilia.
-Wewe ni shetani tu kumbe unajifanya malaika. Pale unaponihitaji tu.
Sababu kaniomba tsh. laki 2 na 1/2 nikamgomea kwasababu hiyo ndo siku tumeingiziwa boom iitoshe na yeye kaingiziwa so sote tulikua na hela hivyo nikawa mgumu kumpa maana hana sababu za msingi.
- Toka mbele ya macho yangu shetani wewe.
Hapo ni baadaye kidogo tulikua tinaelekea COED kufanya UE nikataka kumsaidia begi ndugu yangu aliniaibisha mpaka machozi yalinitoka nikachukulia poa tu.
Baada ya paper nikamfuata tuongee nikamuuliza kulikoni.
Akanijibu kuna mtu alimuudhi hivyo alikua na hasira (hasira za mtu mwingine ziniangukie mimi?) (nikajisemea kimoyomoyo)
Nikajitahidi sana kuropoka nikamwambia siwezi kuendelea naye tena, akajibu poa (kirahisi) (sijui alijuaje nampenda)
Tukaagana vizuri tu mida ya usiku napigiwa simu rafiki yake akidai niende nikamuone (mpenzi wangu) coz muda wote analia tu.
Nikashindwa kujizuia nikaenda ndugu yangu"! Macho ya mtoto kike yalibadilika rangi nakuambia basi sijui ilikuaje nikamhug na kumsamehe kabisa.
Baada ya hapo ameendelea na tabia zake mara shetani mara toka mbele ya macho yangu mara my kuna lecture ananitongoza mambo mengi.
Kila nikitaka kumuacha naumia sana na sijui kwanini inanitokea hivi.
Ushauri wako ni wa maana sana, naomba matusi yasiwepo.
Sentensi moja tu una quote thread mzima? Haya bhana.tatizo pesaaaaaa
KUMBE WA COED nao wako hivyo tulikuwa tunafikirigi waalimu ndio wake kipindi tuko hapo kumbe wanatuita shetani? any way kwake Mungu anaeangalia mioyo rudi magotini utamwona tuu kama ni wako au laa kama wewe ni Mkristo. Mungu anongea na utasikia na atakuonesha kabisa. mwamini Mungu my dearHabari za wakati huu wanaJF,
Naomba niende moja kwa moja, Nimekua kwenye mahusiano na binti mmoja kwa mda wa mwaka 1 na 1/2 sasa.
Nimekumbana na yafuatayo:-
-Sikujua hapendi utani, nikamtania alinichoma kalamu na kwa kua nampenda nikavumilia.
-Wewe ni shetani tu kumbe unajifanya malaika. Pale unaponihitaji tu.
Sababu kaniomba tsh. laki 2 na 1/2 nikamgomea kwasababu hiyo ndo siku tumeingiziwa boom iitoshe na yeye kaingiziwa so sote tulikua na hela hivyo nikawa mgumu kumpa maana hana sababu za msingi.
- Toka mbele ya macho yangu shetani wewe.
Hapo ni baadaye kidogo tulikua tinaelekea COED kufanya UE nikataka kumsaidia begi ndugu yangu aliniaibisha mpaka machozi yalinitoka nikachukulia poa tu.
Baada ya paper nikamfuata tuongee nikamuuliza kulikoni.
Akanijibu kuna mtu alimuudhi hivyo alikua na hasira (hasira za mtu mwingine ziniangukie mimi?) (nikajisemea kimoyomoyo)
Nikajitahidi sana kuropoka nikamwambia siwezi kuendelea naye tena, akajibu poa (kirahisi) (sijui alijuaje nampenda)
Tukaagana vizuri tu mida ya usiku napigiwa simu rafiki yake akidai niende nikamuone (mpenzi wangu) coz muda wote analia tu.
Nikashindwa kujizuia nikaenda ndugu yangu"! Macho ya mtoto kike yalibadilika rangi nakuambia basi sijui ilikuaje nikamhug na kumsamehe kabisa.
Baada ya hapo ameendelea na tabia zake mara shetani mara toka mbele ya macho yangu mara my kuna lecture ananitongoza mambo mengi.
Kila nikitaka kumuacha naumia sana na sijui kwanini inanitokea hivi.
Ushauri wako ni wa maana sana, naomba matusi yasiwepo.
Kama anakuita shetan kila ukienda beba biblia mkonon akianza unakemea pepo

Mwaka wa pili....bado sana dogo...piga shule achana naye kabisa wala usiharakishe kumpata mwingine...yaani utaishi maisha mazuri kama utaachana naye!! unajiua bure dogo, stress za nini bado mdogo hivyo!!Mwaka wa pili