Natamani kumuacha ila nashindwa

Natamani kumuacha ila nashindwa

dogo nakushauri soma....soma dogo......ukishindwa piga puli......wenzio ilitusaidia mpaka tulipopata fedha ya kuwahudumia,,, kozi wana ugonjwa wa kike hao.........
 
kuendekeza tu .. yani wewe unaona moto mkubwa halafu ndani kuna dhahabu unaingia kuchukua dhahabu halafu unalia naungua huku umekumbatia dhahabu ndani ya moto we utakuwa huna akili... kimbia achana na moyo toto
Ushauri wako mzuri mkuu
 
Huwezi kutupa nguo/kiatu (ki)mbaya kabla ya kununua (ki)nyingine.
Tafuta msichana mwingine (mzuri zaidi) na uwe na uhakika nae kisha ndo uachane na huyo uliyenae sasa hivi.
Wengi wanasema huwezi kumuacha kama huna mwingine kuna ukweli wowote katika hili?
 
..Mkuu you are weak and a complete disgrace to all Men In the world sasa hela zako alaf bado unaendeshwa kma kitoy,where is that Manhood In You sasa???????????
 
Tafiti zinaonyesha kwamba 90% ya wanavyuo wa siku za sasa wanaconcentrate zaidi kwenye maisha ya mapenzi na ujinga ujina bila kusahau na u-social networking usio na mbele wala nyuma.

wanadhani kuoa na kuolewa ni jambo la kukurupuka, wanadhani watazaa na kuishi humo hostel kwenye maji na umeme wa bure bila kusahau room ya TZS 41,500/4month.
Basi wazazi tujipe pole kwa kizazi cha kizembe kama hichi
 
Tatizo sio kumuhudumia mkuu
Utamhudumiaje bila sababu za msingi?
Kwani yeye....au basi tubu.
Kwani yeye nini? Malizia, jifunze kwanza kutofautisha kati ya Lecture na Lecturer, Lecture kweli inaweza tembea na demu wako?
 
Habari za wakati huu wanaJF,

Naomba niende moja kwa moja, Nimekua kwenye mahusiano na binti mmoja kwa mda wa mwaka 1 na 1/2 sasa.

Nimekumbana na yafuatayo:-
-Sikujua hapendi utani, nikamtania alinichoma kalamu na kwa kua nampenda nikavumilia.

-Wewe ni shetani tu kumbe unajifanya malaika. Pale unaponihitaji tu.

Sababu kaniomba tsh. laki 2 na 1/2 nikamgomea kwasababu hiyo ndo siku tumeingiziwa boom iitoshe na yeye kaingiziwa so sote tulikua na hela hivyo nikawa mgumu kumpa maana hana sababu za msingi.

- Toka mbele ya macho yangu shetani wewe.
Hapo ni baadaye kidogo tulikua tinaelekea COED kufanya UE nikataka kumsaidia begi ndugu yangu aliniaibisha mpaka machozi yalinitoka nikachukulia poa tu.

Baada ya paper nikamfuata tuongee nikamuuliza kulikoni.
Akanijibu kuna mtu alimuudhi hivyo alikua na hasira (hasira za mtu mwingine ziniangukie mimi?) (nikajisemea kimoyomoyo)
Nikajitahidi sana kuropoka nikamwambia siwezi kuendelea naye tena, akajibu poa (kirahisi) (sijui alijuaje nampenda)

Tukaagana vizuri tu mida ya usiku napigiwa simu rafiki yake akidai niende nikamuone (mpenzi wangu) coz muda wote analia tu.

Nikashindwa kujizuia nikaenda ndugu yangu"! Macho ya mtoto kike yalibadilika rangi nakuambia basi sijui ilikuaje nikamhug na kumsamehe kabisa.

Baada ya hapo ameendelea na tabia zake mara shetani mara toka mbele ya macho yangu mara my kuna lecture ananitongoza mambo mengi.

Kila nikitaka kumuacha naumia sana na sijui kwanini inanitokea hivi.

Ushauri wako ni wa maana sana, naomba matusi yasiwepo.
kweli utoto raha sana
 
Back
Top Bottom